JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo. Both kwa ladies and gentlemen. Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho . Hata kama kiatu...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Haaa ama kweli shika atamshika hadi Mugabe na tutayaona mengi sasa
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Hamjambo, Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta. Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe...
15 Reactions
62 Replies
4K Views
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'ania kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema:- " Unadhani familia yako ina matatizo?" Basi...
12 Reactions
17 Replies
4K Views
Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia. Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama...
1 Reactions
16 Replies
710 Views
Wasukuma ni kabila kubwa katika makabila yaliyopo hapa Tanzania. Na kwa bahati nzuri nina mke wa Kisukuma [emoji16]. ila hawa Wasukuma wasikie wakiwa na pesa ndugu zangu wa makabila mengine...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni usiku tena. Mambo mengi na pilikapilika za mchana zimekwisha. Tutakiane usiku mwema. Singles, tutulie kwenye rooms zetu. Huu si muda wa kwenda kusaka mbususu/mkuyenge mtaani. Fikiri mambo...
5 Reactions
12 Replies
763 Views
Tuwaambie ilipo au tuache kwa maslai ya Taifa letu. Hivi kwa Hali ilivyo sasa kununua kichwa Kama hicho na behewa zake inaweza kugharimu kiasi gani. Mie najua sehemu ilipo na mmiliki pia nabei...
0 Reactions
3 Replies
647 Views
Nilitafakari sana kichwa cha habari hii. Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari. Cha ajabu ikanikalia na miracle...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
10 Reactions
121 Replies
9K Views
God is good all the time, All the time....(don moen). Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni...
24 Reactions
67 Replies
3K Views
Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4] siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts" isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119] ..mnaokaa karibu na bahari, maziwa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
guest-1793390367
Huyo mtu ambaye upo naye kwenye mahusiano kwasasa akisema muachane utasemaje?
1 Reactions
7 Replies
548 Views
Mimi naanza na udereva wa magari masafa marefu, hasa nje ya nchi.
1 Reactions
5 Replies
780 Views
Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!
6 Reactions
33 Replies
2K Views
guest-1793390367
Wanaume msiokunywa bia na hampendi football kwani starehe yenu ni nini?
0 Reactions
13 Replies
499 Views
Wakuu Kuna rhumba ikipigwa huku ukiwa unapata beer, wine, au spirits unahisi raha zote ziko juu yako, Upande wangu nikiwa sehemu ya wazi kabisa huku naangalia maji ya bahari au ziwa huku upepo...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Habari, ipi tofauti ya LODGE na GUESTHOUSE? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Habari wana Jf, Hivi ni msichana yupi au mwanaume yupi hutakuja kumsahau katika kipindi chote.
0 Reactions
110 Replies
15K Views
Habari zenu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, dhumuni la Uzi huu ni kupeana Facts au kujuzana mambo mbalimbali yanaweza kuwa ya kustaajabisha au la lakini hapo tunakuwa na...
57 Reactions
4K Replies
173K Views
Back
Top Bottom