JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nilipokuwa mdogo nilijua duka likifungwa mtu anashusha vitu vyote kwenye shelves anaweka chini. Nilipokuwa mdogo nilijua TV ikiwa inaongea ikatokea umeme umekatika inaendelea palepale ilipoishia...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni kichaa tu atakataa! ccm imechukuwa nchi kutoka kwa mkoloni, vitu vyote kuanzia miundombinu, maflyover,mifumo ya umeme, mashule mahospitali, zahanati na madawa, mabohari, mibarabara nchi nzima...
0 Reactions
9 Replies
589 Views
umeota nini? niambie ulichoota nikutafsirie maana ya hiyo ndoto.[emoji5][emoji5]
1 Reactions
59 Replies
2K Views
Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini pamoja na jamaa zetu na marafiki zetu. Watu tusiowajua wataishi katika majumba na maeneo yetu. MALI zetu zooote zitamilikiwa na...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza Sana swali hili kwamba ni nani aliclassify majina haya kiasi ambacho mwanaume akiitwa Rachel au Diana kuwa ni kosa au mwanamke kuitwa juma au Gabriel ni kosa. Au muislam...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Seke seke la kitaa Na bindondora ************ "Yule jamaa katoka sauz ni mgeni kabisa hapa tz , sasa nasikieni karudi na mapuri ya bange kibao" "Sasa sie tunavuta bangi? Akazungumza kwa zarau...
1 Reactions
1 Replies
495 Views
Walipofika wao walikuwa wana Biblia, sisi tulikuwa na ardhi. Wakatuambia tufumbe macho na tusali. Tulipomaliza kusali na kufumbua macho, wao walikuwa na ardhi, sisi tuna Biblia. Wakatuambia...
5 Reactions
7 Replies
668 Views
Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
697 Views
Hapa nataka kujua watu wenye ushawishi kwenye jukwaa husika ambapo ukienda huko bila kumfahamu huyo basi wewe huenda hujawahi tembelea hilo jukwaa Nianze na majukwaa haya machache ambayo Kwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaani? Mbali na kuwazaa, kuwalea mkakua, kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje? Mfano mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...
17 Reactions
152 Replies
7K Views
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya hela: Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitwa jina lako tu. Good morning Kelvin, Hello Kelvin how is your day? Good night Kelvin. Ukiwa unampa kati ya...
1 Reactions
3 Replies
553 Views
Naombeni jina, mtoto wa kiume Mkatoliki.
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Tafadhali naomba tujulishane mapema maana mwaka huu wenyewe hata siuelewi elewi.
1 Reactions
6 Replies
618 Views
Salam Wakuu, Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi. and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
9 Reactions
145 Replies
10K Views
Amani iwe kwenu! Natoa wito kwa wanaume ili upate mafanikio ya haraka, oa mke zaidi ya mmoja, utaona nacho maanisha.
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
3 Reactions
59 Replies
2K Views
naombeni mniambie nifanye mazoezi gani miguu yangu inenepe?? nimeachwa kisa cna mguu
1 Reactions
91 Replies
9K Views
Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee. Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya...
2 Reactions
10 Replies
936 Views
Aziz Ki ashtakiwe na Jamhuri kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia siku ile ya Jumapili jioni (murder case) Shauri linasema kuwa, ndugu Ki Aziz akiwa na akili zake timamu alitumia nguvu...
4 Reactions
20 Replies
970 Views
Back
Top Bottom