JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Usijifanye huoni soma maelekezo hapo alafu tuambie maoni yenu [emoji38][emoji38]
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakuu wenyeji wa singida ebu naomba mtusaidie sisi wageni vijiwe vya totoz, maake tumefika kipindi cha baridi sana.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kuuliza mahusiano ni vile mtu unajaribu kumuelewesha mwengine akupende au ni vile unajaribu kuishi vizuri na mtu ili mpendane.
1 Reactions
8 Replies
930 Views
Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani? 1. Gunzi 2. Mchanga 3. Maji mkono mavi 4. Preshawota 5. Pepa 6. Kochespa
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu mliomo jamiiforum, members wa wazamani na wa sasa pia, natumaini mpo salama wote, ALHAMDULILAH, ni jambo la kushukuru. Sina mengi, nimekuja kuwasalimu! NAWAPENDENI SANA ENYI...
3 Reactions
6 Replies
646 Views
Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, wahaya > sinza Wakurya > kitunda wapemba > ilala na kigamboni waarabu > kariakoo wapi tumesahau ??
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuuu poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale humu JF sio pazuri kuna member mmoja humu ana mambo ya kishirikina sana tuweni kujibu jibu watu yamenikuta
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Mbeya ni Mkoa wenye Historia tata sana Tanzania, ni Mkoa wenye Makanisa Mengi sana lakini ni Mkoa ambao watu wake wanawindana kama Chui anapowindwa kwa maana Ngozi yake ni dili, lakini vile vile...
1 Reactions
45 Replies
18K Views
Baada ya kumaliza kusali na familia yangu, kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema zake alizotujalia, Naangalia series moja matata inaitwa Treadstone.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani natafuta mtu yeyote anayeweza kuwa mwenyeji wangu Iringa mjini. Sijawai kufika, ila natakiwa kwenda iringa kikazi hivi karibuni.
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba twendeni Ukraine tukaokote VIUMA chakavu
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Tarehe kama ya leo, miaka kadhaa...iliyopita malaika walishangilia kwa ajili ya dada na rafiki yangu mpendwa kuzaliwa. Leo unapoikumbuka siku hii muhimu na ya kipekee katika maisha yako, napenda...
9 Reactions
110 Replies
7K Views
Hahahahaaa Yaani hizi type za hawa wanawake, wewe usijiangaishe kutongoza maana ni kama utakuwa unapoteza nguvu na maneno yako. Cha kufanya, endapo kama umekutana naye kwenye kona, wewe cha...
13 Reactions
77 Replies
12K Views
Usiku ndio muda mzuri wa kuchat na marafiki kutoka mataifa mbali mbali. Sasa wewe umelala, unasubiri pakuche uanze kuchat na Mwajuma ndala ndefu. Huo ni umasikini, changamka kijana
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Labda Huenda wewe umebobea katika kitu Fulani, labda ndio career yako ni vema ujifunze mambo mengine madogo madogo! Mfano mimi Nasoma Civil, ila ninajifunza Programming....najifunza namna ya ku...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
habari watu wanguvu ...naimani kila mtu yu mzima na yu afya njems ningependa tujumuikebsote kwa pamoja kwa dhumuni la kuweza kujuana na kupiga story tofauti tofauti ikiwemo kupeana ushauri na...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Angalia keyboard/keypad yako, zikariri herufi then andika neno chit chat au JamiiForums ukiwa umefumba macho tuone utaandika nini. Just for fun. Ngoja nijaribu Chit cuat Jamiifoeumd 😅😅😅😅😅😅
4 Reactions
242 Replies
15K Views
Wakuu nipo mda huu gesti. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gesti ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gesti...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
😂
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom