JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusu Ni ama wewe utazaliwa mwanaume au mwanamke Kama wewe utazaliwa mwanamke uko salama, Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
That LOVE! [emoji120] Consistency + Commitment, PAYS off. Good morning FAMILIA... Leo pia ni siku, thanks, and let's do this.. may the name of the God of Jacob protect you. Psalm 20:V 1.. I and I
1 Reactions
5 Replies
700 Views
Nili zaliwa mwezi na tarehe kama ya leo miaka ishirini iliyopita, na leo ni furaha kubwa sana kwangu kuuaga uteenager na kuingia rasmi into adulthood .. kimwonekano bado ni mdogo mno, kwani mwili...
10 Reactions
60 Replies
5K Views
Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia: "Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilikuwa napenda mno Kuiga Kujikunja kama Bruce Lee huku nikirusharusha Viteke vya hapa na pale na mkwara mwingi wa ile Sauti ya Bruce Lee ya kulia kama Paka hivi, lakini kuna Siku niliingia kwa...
1 Reactions
1 Replies
777 Views
WHAT'S IN A NAME ================ President Idi Amin once wanted to change the name of Uganda to "Idi". Except for one man, Maliyamungu, everybody else who was close to him feared to challenge...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Inakuwaje wakuu..... Wakuu ukweli ni kwamba hakuna binaadamu alietaka kuja duniani lakin tunajishtukia tu tumeshakuja duniani Swali ssa linalonifanya kila siku nitafakari Kwanini watu tunaogopa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani naombeni mnijuze Kama kichwa kinavyo jieleza. Kama hizo silver zipo huwa zinamajina gani. Pia sent moja ya dollar sawa na cent ngapi ya shilling?
0 Reactions
7 Replies
575 Views
Je? inatakiwa nipate yenye power gani?
0 Reactions
5 Replies
907 Views
Aise leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ya 2003 enzi hizo naanza form one shule fulani. Enzi hizo ilikuwa shule ya serikali lakini ya vipaji; aisee hapa nilikutana na vipanga humo darasani mpaka...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
.
11 Reactions
123 Replies
28K Views
Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. Hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimekunywa castle lite 10, K Vant moja na wine mbili aina ya magi nimelewa balaa sijui kama nitaweza kufika hom
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Mimi aliniomba 100K aongeze kwenye kodi wakati me mwenyewe kodi jau enzi za chuo hizo nikamwambia asubiri nipate boom. Akasema mwanaume wa kutegemea boom nae mwanaume...
10 Reactions
85 Replies
8K Views
Kuna huyu Dogo ambaye ukimwekea Noti ya shilingi elfu kumi na Sarafu ya shilingi mia tano yeye anachagua ile sarafu ya mia tano anaacha ile noti ya elfu kumi. Dogo aliwashangaza watu wengi na...
9 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za jumapili, hii miziki naisikiaga tu kwenye maklabu nikapendezewa na midundo yake. sasa jana usiku nikaingia yutyub na kuandika amapiano nikakonnect blue tuth na hii home theater yangu...
7 Reactions
36 Replies
46K Views
:):)
1 Reactions
1 Replies
672 Views
Profesa alipo ingia darasani alianza na mada nzito sana. Wakati alipogeukia ubaoni, mmoja wa wanafunzi alipiga filimbi. Aligeuka, akatazama darasa na akauliza jina la aliepiga filimbi. Hakuna...
10 Reactions
12 Replies
3K Views
Kulikuwa na mkulima wa matikiti ambaye alisumbuliwa sana na watoto waliokuwa wakivizia na kuiba matiikiti yake. Siku moja akapata wazo zuri la kuwatisha wale watoto wasimuibie, aliandika bango...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Simu gan nzuri smartphone simu janja inatunza chaji vizuri
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…