JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hbr ndugu zanguni wana JF? Leo Nilikuwa nimekaa Sehemu fulani Hivi town,nikamsikia mama mmoja ni hawa wafanya biashara ndogo ndogo za kutembeza, akisemesha kuwa amebanwa sana na haja, na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Vijana wengi ndani ya da'slam hujiita watoto wa mjini na wengi ukikutana nao popote pale wao hua ni Kama wameshamaliza Kila kitu kwenye haya maisha. Na ndani ya vichwa vyao bongo zao zimebeba vitu...
8 Reactions
34 Replies
6K Views
Natambua uwepo wa mabaharia wote mliosoma Kiswahili na Language kwa upande wa Olevel Wale wa HGK, HKL, KLF, HGL Elimu ilitulazimu kusoma baadhi ya vitabu, binafsi nilisoma kitabu kinaitwa "BARUA...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Unatongoza unaparangana hadi unakubaliwa. Ila mahusiano hayaendelei mbele shida nini hapa? Je hua mnaongea nini na mademu zenu baada ya kukubaliwa??
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke😥
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama ndo wewe ulipoteza fahamu ukapelekwa ICU mwezi February.. Ukafanikiwa kutoka na kupona mwezi wa nane...yaani miezi sita ulikuwa hujui Nini kinaendelea nchi hii.. Ghafla unatazama TV ..Rais ni...
25 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimekuwa na hulka ya kupenda kumpikia mpenzi/girlfriend. Japo kwa sasa sina ila nikiwa naye huwa namwacha akae halafu mimi napika yeye ale tu.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, hivi zile simu za zamani bado zipo madukani kweli? kama zipo kwa dar zipo maeneo gani? na pia bado wanazalisha au ndio viwanda vimekufa kabisa? kama kuna mtu anafahamu...
1 Reactions
0 Replies
774 Views
Nimeupenda sana huu msemo wa Ali Kamwe. Kamsemo kana ukweli eeeh!
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Palikuwa na mtu mmoja kichaa katika kijiji fulani. Basi huyo mtu likuwa akipita na kelele sana kila siku akipiga kelele alikuwa anasema maneno haya "Ukitenda mema unajitendea mwenyewe na ukitenda...
8 Reactions
19 Replies
5K Views
Habariza weekend wakuu, Natumaini mko poa kabisa. Wazo langu japo ni la kibwege, Ni kwamba mnaonaje wakuu kama tukianzisha channel (hall) ya JF kule Clubhouse?? Najua dhima kuu ya If Ni kumaintain...
1 Reactions
2 Replies
558 Views
Viongozi tukemee huu ujinga unaoendelea Kambini Morocco. Ni aibu watu wazima kugombea mkorogo. Iwe ni kweli aliiba au kasingiziwa but sidhani kama ni jambo la busara. Kambini si sehemu ya kwenda...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamvi! Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu Ukweli lazima usemwe, Jamii forum ipo kwaajili ya wanaDaslam, watu wa mikoani wako bize na facebook Wamikoani wachache waliobahatika kusoma elimu ya vyuo vikuu na wale waliowahi kufika na...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Good morning fellas, long time no see Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa...
21 Reactions
92 Replies
6K Views
Jamani nimekuwa niko nyuma sana na inaniuma sana ninapokuwa club na kwny sherehe halafu washikaji rika langu wanacheza vizuri wakati mimi najifaragua tu.. Sasa nimechoka kuwa left out na kufeel...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
You really are too good to be true.My life wouldn't be the same without you,so here's to you!To your brilliance,your kindness,your strength,and your everlasting charm....I LOVE YOU SO MUCH mi amor...
10 Reactions
72 Replies
4K Views
JF Napenda kuwakumbusha wanaume wenzangu kama mimi, hakuna kitu kinakaba koo kama mwanamke wako kugongwa na wanaume wengine. Ukiona mwanamke anamiongoni mwa tabia hizi huyo ni cha wote, wachana...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Lastborn wana raha utasikia mwacheni mtoto. Hata akila mkate mzima wengine mkose hata hafokewi sasa kula wewe ambae wa pili kuzaliwa utaona cha mkutema kuni [emoji2][emoji2]
43 Reactions
346 Replies
26K Views
No. 14: Kipanga WA darasa No. 15: Kilaza WA darasa. No. 16: Mchafu WA darasa No.17: Jamaa anae piga darasa Zima. Na. 18: Ronaldo wa Darasa. No. 19: Msanii wa darasa No. 20: mvuta bangi WA...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom