JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanabody embu tufanye kamchezo kamoja hapa. Unamuuliza mpenzi wako boyfriend /girlfriend hili swali Swali linasema hivi "bby Do you think buttom up economy is really sustainable as to compare to...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Salamu sana wana CC wote, Nilisikia hii kitu BBC, nimeitafuta nimepata moja; Naomba wale wenye barua nyingine waziweke hapa; Kweli Mzee Mandela alikuwa na mapenzi ya ajabu...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Kuna watu wanapita JF unabaki kujiuliza ni watu wa aina gani. Kuna huyu mwamba alitokea. Kila akianzisha uzi anaanza na "Mimi ni yule kijana ambaye nimetahiriwa hivi karibuni😀😀" sijui alikuwa...
1 Reactions
7 Replies
860 Views
Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana. Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ki pekee nashukuru jf leo kwa kunitunuku cheo hichi cha jf expert member ambacho nilikuwa nakitamani kwa muda mrefu sasa najiona ni member rasmi baada ya kujiunga toka mwaka 2020.Je wewe member...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
leo nimejitahid kuisoma bible yote na kuimaluza so mwenye swali lolote auulize tuuu
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwana Flani wa facebook kanivutia Uzi ohhh mambo vp bro .. Nakubali kazi zako Nini ... Tuwe friends Moja na mbili nikasema fresh Mara kauliza ohhh unaish wap nikamwambia kino , akasema dahhhh...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ila wabongo bhana! Ety humu ndani kuna mtu anawaza kwenda kumtambulisha binti mwenye tatoo nyumban kwao, ety watamchukuliaje!! Wakati kaka yangu alioza kwa mdada mwenye upaa na midevu, mapengo na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mxela toz
1 Reactions
0 Replies
468 Views
Eti Rais wa Nchi anatembea na Wallet ya kuhifadhia fedha? Ya nini sasa wkt kila anapokwenda anakuta kaandaliwa kila kitu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Tarehe 24 ya mwezi wa nane niliomba maelekezo kwa msichana mmoja hivi demu wangu!! Akanikubalia tukakubaliana tuimalizie kwao. Dah!! Kama huna bahati ni huna tu, tukakutwa na maza mtu, alisukuma...
6 Reactions
94 Replies
8K Views
wadau nimekuwa nikisikia kuna wataalamu wanasafisha nyota inayopelekea kupata mafanikio kipesa. Je Huo utaalamu upo, kuna aliyewahi kusafishiwa nyota na akafanikiwa, wataalamu wa uhakika wapo? Ahsante
0 Reactions
2 Replies
4K Views
1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto. 2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za...
3 Reactions
47 Replies
18K Views
Nadhani hujabahatika kukutana na magwiji Hawa wawili wakiwa nje ya jukwaa letu pendwa. Jumamosi iliyopita nilibahatika kuonana nao mitaa ya Kasumulo wakijiandaa kuvuka mpaka kwenda Lilongwe...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Inapotokea umemzidi umri mwenza na mama yake pia unampa salamu gani?
6 Reactions
76 Replies
7K Views
Nimemuona mchawi namjua Ingekuwa ww ungemfata asubuhi !?
0 Reactions
3 Replies
625 Views
Kwa waliokuwa majirani zake enzi hizo hawatashangaa sana maana hata yule mke wa mwingine kipindi hicho jamaa akiwa choka mbaya sana alikuwa anamvurumishia makonde na matusi mazitomazito juu yake...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
NANI JEMBE; Nyumbani kwa mlevi, kwa nje kuna kisima kirefu Siku moja Mume alirudi usiku amelewa top, Mambo yakawa hivi: MME: Fungua mlango MKE: Leo sifungui Nimechoshwa na ulevi wako MME: Kama...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale wenye usafiri mtupe mbinu, je mlianza anzaje kumiliki chombo chako cha usafiri? Siku ya kwanza kumiliki ulijisikiaje?
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious. Please tuache...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom