JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo. Wenzake walimwona kwa mbali hawakujua hata jina lake. Ama kweli maisha ni...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna wanawake wakorofi bhana. Tena ukorofi unawazidi pale wanapojua huyu hawezi kunipiga. Na wanaume tunavyojua kutunza siri ukipigwa hupigi kelele majirani wasije wakaskia...unajikalia kimya...
25 Reactions
138 Replies
13K Views
[emoji117]Ukiruhusu mitandao ya kijamii itawale maisha yako na mpaka inafikia hatua ikuamulie jinsi ya kuishi hutaweza kudumu na mwanaume yeyote hata Mungu akuletee...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale...
22 Reactions
339 Replies
38K Views
Hamna mtu asiye na tabia mbaya, wote tunazo, za kurithi, za kujifunza na za kuiga. Kila mtu anayejijua vyema, huwezi ukawa mwizi halafu usijijue. Huwezi ukawa kicheche halafu useme eti hujui...
11 Reactions
54 Replies
4K Views
Wanajopu tupeane uzoefu kidogo hapa je ni sehemu ipi nzuri kwa kumtoa out mwanamke mnapokuwa katika uhusiano wa mwanzo ili afurahi na aone umemtendea vyema. Nikifikiria kwenda naye club nahisi...
2 Reactions
66 Replies
18K Views
Habari za wakati huu wadau wa Jamvi letu pendwa JF. Eeeh bhana niko kwenye mtoko wa pekee yangu huku mkoani kwetu. Sasa hapa kuna ki pub kimoja hapa, sasa kafika jamaa mmoja hivi kajaza hicho...
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Ni jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia. Ila kuna jogoo anasumbua sana. Anawika muda huu. Hivi hii ni kawaida kweli? Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo, anafanya ujinga sana
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Weekend iliyopita nilikuwa bar moja ukipita Dar live upande wa kushoto. Saa moja usiku nipo counter, kaja dada mmoja ile kumuangalia tu kosa, kanifata ananinong'oneza chumba 5000 na mimi 5000...
9 Reactions
75 Replies
17K Views
Maisha yanamambo sana..hii kwa moarange ni neno maarufu sana nini maana yake. Kubeti. Usimba na uyanga. Chips. Vinaeleweka. Kwa mparange ni nini?
2 Reactions
2 Replies
883 Views
Habari za humu, it has been a while since my last thread here. Majukumu ya hapa na pale nayo yamenishika, nashindwa kushiriki mara kwa mara humu. Anyways iko hivi mie nimehitimu shule ya msingi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ninayoyaona hapa ninapoishi yanahuzunisha sana *Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga. *Mama mwenye nyumba na wanae wanatandika mkeka karibu na choo.Ukizam...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakiwa mahakamani katika kesi, wakili wa mashtaka alimwita shahidi wake wa kwanza, bibi, mama mzee mwenye msimamo. Alimfuata na kumuuliza, 'Bi. Jones, unanijua? Bibialijibu, 'Kwa nini, ndio...
3 Reactions
2 Replies
869 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeandaa uzi huu maalumu kwa ajili ya kukera watu, njoo umkere yoyote yule bila kuogopa. Karibuni tukerane hapa. Matusi mwikooooo. Sent from my SM-G9250 using...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Salamu wadau. Kumekuwa na taarifa kwamba, kuanzia Julai Mosi, bei za bia zingeshuka, zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 1,500 zingeuzwa Tsh. 1,000. Zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 2,000 zingeuzwa Tsh. 1,500...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake. Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Serikali si mmeona kunipa ajira Ni kipengele nikiingia Uzi wa vyakula natamani mamisosi ya kumwaga na mazagaazaga Ila ndo vile Tena Sina mahela.. Sasa Mimi Ni mjanja siwezi kukwama kula matunda...
2 Reactions
3 Replies
584 Views
Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends Kule Vichwa vipanga ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni swali dogo kama la mzaha hivi lakini ukiulizwa kwa haraka haraka unaweza kosa jibu au ukajibu kile unachokiona /waza. Je!ukiulizwa hili swali utajibu nini.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
1 Reactions
68 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…