JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni maajabu na ni maajabu kweli kweli ,licha ya kelele zote hizi bado utaambiwa tuma na ya kutolea kama unanipenda kweli. Lakini bado wanaume wa kweli tutatuma na ya kutolea.
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawapenda Sana simchukii mtu hata mmoja kwa sababu nawajua member watatu tu katika jamiiforum.kuna mabadiliko nayotaka kuyafanya Hapa ulimwenguni yakihusisha Zaidi maisha yangu ya kiroho, kimwili...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa) Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni...
22 Reactions
29 Replies
4K Views
Nashangaa Sana vijana wenzangu ambao mnaogopa kuoa wanawake wa kileo wawasaidie kazi za home Kama vile kufua nguo ili nyie mpate muda wa kusaka hela huko kitaa mnafeli wapi ndugu zangu hivi kweli...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu leo asubuhi nilikuwa na hamu na zaga sasa nikamcheki mtoto akasema jioni jioni atakuja. Si ndio kuja kuingia JF kukutana na mastori ya town eti Kodi ya uzalendo aisee roho ikapasuka nahisi...
0 Reactions
1 Replies
460 Views
Tangu hii baridi ianze sijaona wale ma toxic female feminists wakisema kwa status zao eti men are trash, ama all men are dogs.... i guess sahii men wamekua blanketi ama duvet... Even if who you...
6 Reactions
71 Replies
6K Views
Wadau kwema, Ni ipi best ring tone song yako ambayo kunamda unapigiwa yani mpaka unatamani hata uache simu iite kwa muda kidogo ndo upokee yani[emoji16]
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Rahaziz mkalia nyongo
1 Reactions
3 Replies
855 Views
Hivi ni kwly? Inasemekana wadada wanatabia tofauti katika mapenzi kulingana maumbo ya miili yao (1): WASICHANA wafupi wanaongoza kwa WIVU wa MAPENZI na kuwajali wapenzi wao'' (2):WASICHANA...
2 Reactions
11 Replies
8K Views
Habari za siku mpya wanaJF! Swali: Kwa michongo uliokuwa nayo na mikakati uliojiwekea unadhani mwaka gani utatangazwa kuwa bilionea?
0 Reactions
3 Replies
509 Views
Habari wakuu nawasalimia kwa jina la jamhuri😂😂😂😂 Sasa bhana iko hivi katika dunia ya sasa kuna sehemu naona kuna tofauti fulani ambayo na ngumu kuikuta mahali pengine tofauti na humu jamvini...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Utafiti wangu usio rasmi nimekuja gundua kwa miaka inavyozidi kwenda watanzania wamekuwa watu wa kughadhibika sana. Jambo dogo tu hata lisilohitaji kutumia hasira mtu anaweza kukuwakia ukikaa...
2 Reactions
11 Replies
816 Views
Ukimuona bodaboda amening'iniza kamguu pembeni na visendo Halafu amekalia tako moja usipande!! Halafu anakuwa amevaa kipensi cha jeans , tunywele amesuka rasta huku bodaboda inapiga mziki wa...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Si niwe tu mtu wa MUNGU serious niwe naongea mambo ya MUNGU ili niombe neema nipate uwezo wa kutoa maono Kisha nyie member muwe mnakuja mnanitembelea kuja kunisikiliza maarifa ya Siri au nikija...
1 Reactions
4 Replies
584 Views
Habari. Binafsi mdada akivaa wigi namshusha viwango. Sometimes nafika mbali, namuona kama mtu asiyejiamini, asiyejielewa na mwenye tatizo. Vitu artificial viko vingi ila kwa mawigi hapo mmezidi.
0 Reactions
17 Replies
898 Views
Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuuu baada ya mishe mishe tukiwa tumejipoza Jf tujaribu kutaniana kidogo. Utani Unaweza kua wa; Mtu na mtu, kabila, kanda, dini, Rangi, Kimo na hata elimu. Ila kuchukia haitakiwi.
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kijana Ukisikia hii kauli toka nduki. Mzinga ndo unafuata....kina Dada mmezidi asee. Fanyeni kazi, "supa wuman" Ni pamoja na kufanya kazi halali sio huu uharamia mnaofanya sasa. Full mizinga...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Mbona kuwa tajiri Ni kazi rahisi sana yaani Tanzania nzima nashindwa nini kuwaomba Wananchi laki moja tu kwa wastani kila mkoa niombe watu 3000. Wengine unawafanyia kazi ndogo wakikupa tu hela...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom