JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui, Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Wajomba zangu Mimi usiku sijui niseme naotaga au najitungia tu movie mwenyewe kwamba namiliki utawaka mkubwa ninakuwa na magari mengi Kama alivyo diamond ila Mimi nakuwa natoa offer ya bia Sana...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Habarini wakuu, Baada ya hii tozo mpya kwenye mitandao ya simu matarajio yangu wale wanawake wa tuma na ya kutolea watawahi kuchakata mbinu mpya ya kupata pesa ila naona kimya mpaka sasa...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takriban kumi na kenda. Tafakari ya babu... "Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi ni kitu gani ambacho haupendi mpenzi wako Akifanye Pale tu Anaposhika Simu Yako...???
1 Reactions
4 Replies
1K Views
kweli hawa mademu wa kimarangu ni soo wanapenda sana kuomba omba. ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba...
1 Reactions
52 Replies
10K Views
Jana klabu kubwa kuliko zote Afrika mashariki, Yanga ilikabidhiwa kombe la ubingwa wa kuifunga timu ya Simba SC huku ikiwa imebakiza mechi moja I tu akayopigwa July 18 2020. Haya ni mafanikio...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ishakuwa tabu mjini. Gari tajwa inahitajika, kama unayo tafadhali karibu PM au weka namba nitakupigia… hata kama wewe ni dalali usiwaze pesa ipo. Only shortlisted serious dealers will be...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Weekend ishafika, hivi ni chimbo gani zuri lenye totoz la kwenda kujiachia ndani ya Tanga Mjini?
0 Reactions
2 Replies
637 Views
Huu ni utafiti rasmi uliofanywa na Shirika la Chitlliysous Consulting Inc. kwa kuanzia Mwezi January to May 2021 juu ya ukaazi wa members wa Jamiiforums. Sample size na vigezo vilizingatiwa...
1 Reactions
0 Replies
566 Views
Wakuu hii ishu nimeipokea kwa furaha sana. Jana usiku sijalala usiku kucha nawaza niwajie na idea gani katika shindano letu. Ila tambueni sisi na wafuatao sio wajinga tutakuja na ID nyingine coz...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Toa 100000 kwa tozo ya shilingi 10000.. bonyeza 1.kuthibitisha 2.kusitisha 3.Lia. Ikibidi namba nne watuwekee 4.fumba macho kuthibitisha 5.tuma na yakutolea au tukate juu kwa juu.😂
4 Reactions
3 Replies
510 Views
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua. Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya...
13 Reactions
43 Replies
4K Views
Kumbe kila jambo na wakati wake hapa Tegeta kwa mangi wa Tigopesa/ M pesa kuna kafoleni fulani watu wakidraw pesa kwa ajili ya shopping ya weekend. Kiukweli tusitishane kila mtu anapambana...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Yaaani unatamani kuvunja simu lakini ndio huwezi yaaani unabaki kuleft tu.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
- Judgement azua kizaazaa baada ya Madame B kutoka chumbani na ch..u..,p,y mkononi akimkimbia,,, hakatwi mtu hapa - baada ya kupokea vijisenti vya kustaafia Baba V aonekana akiwapanga...
6 Reactions
171 Replies
10K Views
Yaani watanzania wana roho mbaya nyie. Mtu eti anamwomba mtu msaada basi hawezi kumpa mpaka amzungushe au adai penzi. Acheni hii tabia itawacost nyie. Nipo sure hizi roho za kwanini zitawacost...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Back
Top Bottom