JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna. Member wanakuja jf wakiwa ni wageni na wanakuwa na hamu ya kupost kwenye kila thread na bahati mbaya anajikuta kero kwa watu wengi Mfano jumanne ya wikii hii jf ilipokea member anayeitwa...
20 Reactions
75 Replies
6K Views
Tangazo kwa Wanachuo waliokula Ada. Tunanunua simu za wanazouza ili wajazie katika Ada na nauli zao za kurudi chuo. Mwanachuo weka tangazo lako usione aibu.... Kitaa pagumu na ndiyo may be...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Imekua nikawaida kwa wanaume humu kujisifu atumia mtaro tena nakujisifu kabisa sidhani kama niungwana Taarifa nyeti kama hizi unazianika hadharani yanini janaume zima na suruali yako ndefu kama...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu hizi dawa sio mchezo, acheni tu ngono zembe usifanye kwa makusudi. Halafu utegemee umeze hizo dawa ni balaa, zinapelekesha vibaya mno, mateso yake ni kama unataka kukata roho. Zinatesa mno...
14 Reactions
113 Replies
23K Views
Habari za jumapili wana jf wote yamkini wote tumeamka salama. Nyumba za kupanga zina karaha yake na sio muda wote tunazichukia, na Kuna muda tunazipenda pia je? Ni kipindi gani ulitokea...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wadau.. Mara kwa mara naliangalia lile tangazo la mtandao wa LIVE IT, LOVE IT, Nakupata mashaka sana na yule mjuba alieacha BUKU TENI akarudi akakuta mapochopocho ya HELA YOTE. Alafu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Njooni tujumuike watu wa Buza, kwa mama kibonge Buza kwa lulenge, Buza kanisani Buza captown, Buza kwa mpalange Buza kwa Dona, Buza machine ya maji nk
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Unaweza kuomba namba za simu, after honeymoon ukaanza kudeal na mmoja baada ya mwingine
14 Reactions
161 Replies
18K Views
Wakuu habari za lockdown? Nimekuta sehemu watu wakijadili na kushindwa kufikia muafaka. Swali ni kwamba kwa nini nyumbani unapiga bao 1 kwa mchepuko bao 5? Je, ni kweli? Na inasababishwa na...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
wakuu kuna mshikaji wangu hivi kila akilala usiku anamuota israel mtoa roho anamvizia vizia hii yote ni kwa sababu ya hofu ya kutolewa roho na mkewe aliyeanza tabia ya kulala na mapanga na visu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii kitu ina umhimu wake aisee, natamani siku moja nipange room, nianze kujitegemea, kikubwa room yangu sitaki ikose Pad na Tv kwa ajili ya game, yaani game kwa kwenda mbele. Mbali na uchumi...
5 Reactions
196 Replies
23K Views
Thread maalum kwa yoyote ambaye angependa kushow love kwa jf member mwenzetu. Unachotakiwa kufanya ni kumtag mtu wako aje apa alafu unatupia mistari kama yote wadau wengine tutakupa sapot...
9 Reactions
657 Replies
26K Views
Nikisemaa Nakupenda sidhani kama nitakuwa nimekosea,moyo wangu wote unawaza kuhusu wewe,kila tone ya pumzi yangu inayotoka inatoka kwa mapigo ya kutamka jina lako zuri, yna2 unajua mapenzi...
9 Reactions
280 Replies
15K Views
Nipo bored nitajieni Garden ya kwenda kutulia siku ikaenda. Movies gani yakucheki siku iishe. Member gani aliboreka kama mimi tu-meet tule story.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Naomba kujua kwa wale mnaojua,vipi mwitikio wa wanafunzi na wanachuo umekuaje leo? Wengi wameripoti au bado.?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba kujua tafadhali, maana kila kitu kibaya utasikia Buza, mademu wabovu wanahusishwa na kutokea buza. Kifupi kila mtu wa ovyo atahusishwa na kutokea Buza. Kunani Buza? Wengine tupo huku...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu Habari za saa hizi! Wakuu mimi nina Rafiki yangu mmoja hivi sio kivilee sana hapana ila ni kukutana kitaa tunapeana tano basi life linaendelea. Kitu kimoja kinachonishinda kwa huyu jamaa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
FINANCIAL SERVICES: Ngareroo pole nimekuja ghafla. NGAREROO:Usijali. FINANCIAL SERVICES: Ni vile wewe hukua umenibamba. NGAREROO:Aah Financial services pia kwangu ni msoo kwanza vile ulituosha...
10 Reactions
65 Replies
5K Views
Back
Top Bottom