JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
☞MREJESHO: 2020 Asalam Aleykum, Bwana Asifiwe. Nisiwachoshe wakuu. ☞ Nimefanikiwa kumpata Binti Ambaye ni BIKIRA.
10 Reactions
161 Replies
11K Views
Fikiria una waambia watoto wako wakalale Mara unasikia kamoja kanasema "Mmh jamani tuondokeni mida yao imefika"
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Mfumo wa uendeshaji wa shughuli za shule upo tayari kwa anae hitaji tuwasiliane umetengenezwa from the scratch pia napokea oda za kutengeneza mifumo mbali mbali kutokana na mahutajii ya...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Natumai u mzima wa afya kabisa pamoja na wote wanaokuhusu Kama kweli yaliyomo yamo kupitia threads zako basi nahitimisha kuwa Wewe utakuwa Ni Mama bora kabisa hasa kwa mabinti zako👏👏👏👏👏 Lengo la...
10 Reactions
136 Replies
7K Views
Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza! Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but...
4 Reactions
69 Replies
8K Views
search BOSTA kisha CLICK images ENJOY your everning MILL #Thank_me_later
0 Reactions
3 Replies
1K Views
eeebanaaae!! ama hakika warembo wengi wanakuja PM wakiniambia wanapenda Jinalangu mazeee,. duuuh! kuna demu mmoja hivi eti ananiambia anapenda niwe rafiki yake tuu lakini tusiwe na uhusiano wa...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Rafiki zangu wapenzi, leo sitakuwa nanyi, napanda Mlimani kufanya Meditation ama kwa Kiswahili huitwa TAHAJUDI au TAFAKURI KINA (deep thinking). Kupitia meditation, nayarudia mapito yangu yote na...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenu wakubwa wa jukwaa kubwa hili la kijamii tz na Afrika Mashariki kwa ujumla. Ninaimani humu ndani kuna kuna watu kutoka pande mbalimbali, basi wale wazee wenye machimbo pendwa ndani ya...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari zenu wadau...,Lengo la huu uzi nikujulishana na kushare the Best ringtone,au ka (Wimbo) kwenye simu, uliyoiseti ambapo ukipigiwa unatamani uache kawimbo kaite kwa muda kidogo then ndo...
1 Reactions
51 Replies
8K Views
Ama hakika mimi ndimi. Naitwa kipepe the GIANT! Ni ukweli nilishawahi kuweka thread kua natafuta mwanamke, lakini nimeshampata niliyemtaka(MATILDA), Ndio maana mnaona siwajibu. Uongozi wa JF...
1 Reactions
325 Replies
15K Views
Napenda kutuma salaam kwa aliyekuwa mke wangu kwamba yule rafiki yake aliyemshauri kuwa aachane na mimi ndio mke wangu kwa sasa 😂
7 Reactions
9 Replies
1K Views
kila mtu anaplay list yake kwa inbox yake ya simu kule kwenye sms hii sasa ndio Top list yangu ya leo, Kule kwa box yangu leoTop ni hii tu. Cc Zero IQ
6 Reactions
104 Replies
8K Views
Habari za majukumu! Hivi wandugu kufanya kazi bar au casino ni sawa au sisawa ukiwa umeokoka?
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Mambo yamekuwa magum, kipi bora kati ya "KUSALITI/KUSALITIWA"??
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Kilimanjaro Bana wanachekesha Etii angalia virefu vya Maneno MOSHI=Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo; ROMBO=Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba; HIMO=Hata Ikipungua Mungu Ongeza; MARANGU=Mungu...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu huu uzi ninkwa wale wenzangu tuiiowahi kuongoza kwenye mitihani ya shule kwanzia primaryy hadi advance Binafsi mimi mwenyewee niliishia la 4 na niliambulia kujuaa kusoma na kuandika tuuh...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Umeshawahi kujiuliza maswali kwa hawa wanyama tuwafugao pindi tu gari inapopaki huamka na kulifata gari? Paka - Kwa nini paka hupenda kunusanusa bumpers au mudguards na kwenye bomba moshi? Mbwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu.. Wewe njemba pengine unayejisifia kuwa ni hodari wa kugegeda lakini kama hujawahi kuambiwa inaenda mbali basi jua huna lolote...ni kibamia wewe.....
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom