JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Je, una kitambi?* *Je, una michirizi ya unene?* *Je, una shepu isiyovutia?* *Je, una nywele za kipilipili?* *Je, una meno ya njano?* *Je, una chunusi, harara au mabaka kwenye ngozi yako?* *Je...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wakuu.. Najua wengi humu ni watumiaji wa whatsapp, kwaio tutajiane whatsapp status unayoitumia sasa au uliyowahi kukutana nayo ukaipenda au ikakufurahisha..yangu ya sasa ni "Ninaipenda...
1 Reactions
85 Replies
28K Views
Haya ndio maisha yangu na mume wangu kila uchwao. Sijui ni nani huyu katupiga picha
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo jumatatu saa tatu usiku nimetulia naangalia kipindi kiitwacho Dk 45 kinachorushwa na ITV. Yani maswali anayouliza kama mtoto wa chekechea, Imagine yeye ndiye anayeuliza swali but...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu Nina swali hapa Kati ya Hawa wanyama wawili nyumbu na pimbi Nani amekaa kiwaki sana(kifaler faler)
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna mambo wanakikundi ni lazima tuwekane sawa, imeniuma sana na hata jana nilitaka niwapigie wanagroup niwaeleze waangalie hili swala linaweza kukomeshwa vipi. Mimi naamini kundi liliundwa kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nadhani inajulikana kwamba kichenza ndiye kijana anayevaa na kula vizuri jamii forum nzima na hilo halina upinzani... anyway ni muda kidogo sijaonekana Jf, ishu ni kwamba nilikuwa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, natumain nyote wazima Ilikuwa mwaka 2014 nimemaliza chuo nikarud home. Sikuwa na kitu cha kufanya kiniingizie kipato kwa hiyo muda wote nilikuwa nalala tu. Siku moja mzee...
14 Reactions
23 Replies
3K Views
Kaaamkao wakula kupokea filam yenye maadili ya kitanzania
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni sanamu ya mzee mugabe!
3 Reactions
23 Replies
4K Views
1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana 2. Nishukie wapi? 3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka 4. Ubaya wako utaingiza yote 5. Uingize kichwa tu 6. Funga mlango kwanza 7. Sikai sana uharakishe 8. Tufanye...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuna Mchepuko wangu kanitumia hiyo picha, " Etii Bebiii naomba nitumie elfu 11 ninunue chupi" Mimi nilijua ananua chupi moja kumbe anataka dozen/ package Hivi kweli package yote hiyo inauzwa...
2 Reactions
98 Replies
15K Views
Mimi nimegundua sisi wakiumeni tunaongoza kwa kuomba kuwekewa picha kuliko wale wenzetu wa upande wa pili,wewe Je?
6 Reactions
466 Replies
25K Views
#To understand Life, you have to visit these three locations:_ *1.* The hospital, *2.* The prison and *3.* The Cemetery. [emoji603][emoji603] _*At the Hospital,*_ you will understand that...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wafugaji wa kuku hasa wa kienyeji watauelewa sana huu uzi kwa kweli Kuku wa kienyeji wana Vituko sana,ila huwezi kugundua mpaka ukae nao sana Hivi ni baadhi ya vituko ambavyo nimeshuhudia live ila...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Baba wakipemba alikuja Tz bara, kwa shuhguli za uvuvi, alikua camp ,basi kila jioni anaingia mjini kuuza samaki, alipouzoea mji akapata mwenyeji(Mamaa) akawa anamburudisha vilivyo, siku aliporudi...
0 Reactions
2 Replies
557 Views
Habari za Saizi WanaJF Katka Kuchakarka na maisha kuzisaka dinero, Kipindi hiki cha Holy Jiwe ambapo kwa wafanyabiashara wadogo kam mimi zmekuwa mbali sana kuzpata mpaka uwe na visa aisee. Asa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
How Idi Amin Made White Men Carry him Amin was known to have egotistical behaviours and even bestowed on himself the title, “His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi...
1 Reactions
4 Replies
971 Views
Ukipewa fursa ya kuumba binadamu na ukaambiwa ubadili mkao wa maeneo ya mwili, mfano macho uyawe sehemu nyingine ya mwili, hips hali kadharika. Utambadilije?
0 Reactions
6 Replies
999 Views
Umepita mda kidogo toka kisa hiki kinitokee,kama miezi mitatu imepita. Mtaa ni ninao fanya ni karibu sana na kitu cha daladala,pia zile kama unafanya unakua maarufu sababbu ya fani yani. Sas...
0 Reactions
6 Replies
848 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…