Huyu member mwandamizi wa JF yuko wapi wakuu? Michango yake tunaimiss. Kama kuna rafiki ndugu na jamaa yake aje atujuze nini kimemkuta mpaka kufikia kuadimika kwa takribani wiki ya tatu sasa.
Walimu kama hawa ndiyo maana kwenye mahafali ya darasa la saba hawaibuki. Hawa ndiyo waliozifanya shule nyingi zianze na sherehe kabla ya kukabidhiwa vyeti.
Vinginevyo, ni vitasa kwenda mbele...
Kuna mwingine zaidi ya Max, mfano DPP ambaye amehojiwa na DPP kuhusu Musiba ?
Kigogo kaishapatikana ?
Kuna msanii kajitupia picha za uchi?
Mkuu wetu hajatoa update zozote huko?
Azori...
Kutokana na wimbi la members wengi kupeana shavu na kujitokeza hadharani bila kuficha hisia zao mpaka kufikia hatua ya kufungua thread especially kuonyesha mapendo kwa watu ambao wanawa admire na...
Leo nilipanda daladala nikakaa na demu nyuma kule, wakati anashuka akanikanyaga kwa nguvu nikamuuliza dada vipi unanikanyaga?? Akanipa bonge la moja la sonyo then akasema "Nilidhani bubu mbona...
Umepita mda kidogo toka kisa hiki kinitokee,kama miezi mitatu imepita.
Mtaa ni ninao fanya ni karibu sana na kitu cha daladala,pia zile kama unafanya unakua maarufu sababbu ya fani yani.
Sas...
Kuna jamaa mmoja alikuwaga anakera sana watu kwa kutaka kila anachokisema watu wakubaliane naye basi siku moja hao watu kati yao alikuwepo mgeni na baadaye yule mtu naye akaonekana akija, wale...
Mtoto: Kwa nini umenunua nyumba kubwa hivi?
Dingi: Pesa ni zangu, nazifanyia vile nitakavyo.
Siku iliyofuata dingi akamnunulia mtoto mdoli (mwanasesere)... Haikuchukua muda dogo akauchomoa mkono...
Hivi wale MA brother men wanaopostigi picha mkiwa kifua wazi mnamlingishia nani vititi vyenu?? au mnataka tujue kua na nyinyi mna vichuchu saa 6??
...[emoji50][emoji50]..!!!
Hello ..,Natafuta mwanamke wakuchart nae na kubadilishana idea mbali mbali za kimaisha ,umri; usiozidi 25 ,Dini yeyote maana ni Urafiki tu wakimaisha
Much thanks [emoji120]
Ujinga ni et unajinyonga kisa Mwanamke ambaye umemkuta sio bikra amekukataa halafu unatuachia na ujumbe ili kutusumbua. .Kuna wanaume Mungu awarehemu maana nikisema mm mtasema nawatukana.
Ikawa baada ya mambo
hayo, mke wa bwana wake
akamtamani Yusufu,
akamwambia, Lala nami.
Lakini akakataa,
akamwambia mke wa bwana
wake, Tazama, bwana wangu
hajui kitu kilichowekwa kwangu...
This thread is sponsored by Iphone XR
Eebanaee Comrade hapa!
Its one more time!
Kwa style tofauti kidogo.
Aseee way back kidogo enzi hizo, kipepe nikiwa naskuli katika shule ya msingi fulani...
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mie na wewe tunajuana wenyewe [emoji847] nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa...