JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nipo na mchizi wangu, kaja na wadada wawili tukawa tunatoka out, njiani gari ikazingua wale mademu kwa kuwa wanajua destination wakachukua bajaji wakatangulia. Yaani gari ikipata hitilafu...
2 Reactions
84 Replies
5K Views
Jamaa kauzu balaa
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimezaliwa na kukulia jeshini 601 KJ airbase Ngerengere jeshini ila dingi kauzu sana, nilipofikisha miaka 6-9 dingi alinipeleka na kuniacha singida kijijini saaana nijifunze desturi na mila za...
3 Reactions
160 Replies
15K Views
Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti. Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za...
6 Reactions
66 Replies
11K Views
Kwa kuwa Tanzania inaingia uwanjani kucheza ili kukamilisha ratiba ili ipande ndege kurudi Tanzania,huu mchezo uchezewe uwanja wa Ndege ili wakishakula zao za uso kama 6 hivi ili kuwarahisishia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikiwa STD 6. Kuna Binti mmoja alikuwa amekamilika kila idara. Alikuwa mlimbwenda Kiakili (Darasani) Kimaumbile. Kisura. Kiroho Kimaadili Kilugha ( Hakuna aliyekuwa anamkaribia ENGLISH...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Natamani kuoa ila kuna kikwazo kimoja kinanichanganya sana nina wasichana watatu sasa naona umri umefika na hao wasichana wote nawapenda hivi kuachana nao nifanyaje fanyaje?
1 Reactions
8 Replies
983 Views
1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike. Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu. Ushoga ni tabia chafu na mbaya kabisa ambayo jamii yetu haipaswi kulifumbia macho,iwe kwa nguvu au hiari wenye tabia hizi wanapaswa kuicha kabisa kwani inaleta athari mbaya kwa...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Kuna uhusiano gan mwanaume akichepuka then akija kumshika mwanae mchanga inasemekana mtoto atachelewa kukua au wanaita kubemendwa..Je kuna uhusiano gan kati ya janaba na ukuaji wa mtoto?
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Waungwana nawambia hawa wamiliki wa mabasi ya mikoani wakishirikiana dereva na makondakta,ni wakati sasa wa kuvunja mkataba na hiyo kampuni miliyoingia nayo kwa kuwasambazia video za muziki na...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Anaweza kuwa ndugu yako au rafiki yako hata mtu yeyote tu. Mimi nakumbuka siku moja rafiki yangu alianza kubishana na kijana mmoja mtaani ghafla wakaja marafiki wa yule kijana waliokuwa wamekaa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Since day one maraia walinimanya kwa gambe na harakati za ku exist na mali.Kuna manzi aliniletea hesabati za kidenzi nikamaindi sana.Ndio mara ya kwanza nikaenda kutafuta cha ukucha bablai...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo nimepita hapa maeneo ya Ilala; Nimekuta wamasai wamejazana kwenye mabanda,nikafikiri niwalinzi kuuliza naambiwa hao ni wasusi. Ndugu zangu wa Masai Morani mzima uliyekatwa govi bila Ganzi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Chagua mmoja.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom