Asante Asante Asante sana, Shukrani nyingi kwako Mh. Rais kutukumbuka watu wa Jani.
Uzoefu kwangu unaonesha Bangi ikitumiwa vizuri na kwa utaratibu inafaida. Tuifanye bangi kitu cha kawaida na...
Nimekumbuka sana huu mchezo miaka ya nyuma, ukidondosha kijiti tu unachezea makofi hadi ukashike sehem mliyokubaliana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
*Mtoto* mmoja alikua anakula *embe* ghafla akaona *funza* katika lile embe..
Kama nilivokwambia stori hii ina *funza*
[emoji26][emoji26][emoji26]
Walio kula #thabuni wakatoe povu kwingine...
Nimekatiza Conner ya love nimekuta mdada ameandika nahitaji Serious man, ameshusha uzi wa maana to kwa wale wenzangu na mm tusiojua kiingereza... Ni balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenyewe...
Baada ya kuchangamana na watu mbalimbali hatimaye unajigundua madhaifu yako,, pia unadhani labda yale Malezi uliyolelewa pia yamechangia kiasi flani
Ila umepiga Moyo Konde ukaweka Utayari na...
Na comrade kipepe...
Kijana mmoja ajulikanae kwa jina la MADENGE anaemiliki office Kali sana maeneo ya ilala, Leo amempigia magoti kocha AMUNIKE baada ya kumkosea kocha huyo... Ndipo kocha...
Ilisemwa na ikarudiwa tena na tena kwamba chochote inachofanya Taifa stars ni utekelezaji wa Sera za CCM. Hivyo kipigo cha Leo ni utekelezaji mzuri wa Sera za CCM za kuhakikisha Watanzania...
Men Are Just Happier People-- What do you expect from such simple creatures?
- Your last name stays put.
- The garage is all yours.
- Wedding plans take care of themselves.
- Chocolate is...
Starting the day with a conversation between a wife and a husband who happens to be a software engineer.
Husband: (Returning late from work) "Good Evening Dear, I'm now logged in."
Wife: Have...
Wakati na peluzi katika mtandao wa YOUTUBE nmekutana
na hii habari ya MZEE kutoka India ambae ameishii miaka 75
Bila kula nikaona sio mbaya kushare nawe habari hii
VIDEO
Guys.kama umemtongoza msichana akakwambia umechelewa nafasi imejaa (akimaanisha ana mtu). chukua compyuta mconnet kutumia USB wire.ingia futa kilichomo then jifanyie installation mwenye ,baada ya...
Je, una kitambi?
Je, una manyama uzembe ambayo unataka yaondoke?
Je, una michirizi ya unene?
Je, una ngozi kavu kwenye nyayo na visigino ?
Je, una shepu isiyovutia Na ungetamani uibadilishe...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kwa wale wenzangu na mimi tusioshabikia mpira wa miguu tujuane na tupeane sababu za kutokua shabiki wa soka maana naona kwa wanaume tupo wachache sana...
Usingizi wenyewe umekata kabisa...pamoja na kuwa ni wa kuokoteza okoteza bado hamna kitu. Umewahi kusikia usingizi wa mang'amu ng'amu? Basi ndo uswahilini inavyokuwa yaani mtu kama kalala lakini...