JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijawahi kuona au kumsikia Mzungu ukikutaka nae sehemu yoyote ile akawa ama anapenda ujue Kiwango chake cha Elimu au awe ' anajifaragua / anaringia ' nayo ila kwa Waafrika hasa Watanzania yaani...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Sorry Sana kwa wale ntakao wagusa leo nilikua napitia video huko YouTube nikakutana na video moja ikimuonyesha ZARI akiwa anasubiriwa na maandamano ya watu eneo la mlimani City chaajabu ni Kwamba...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mara nyingi utasikia wakamatwa wakifanya ngono, mara nyingine wakifanya mapenzi, sasa tofauti ya maneno haya ni nini? najua wengine wanafikiri ngono ni ile isiyo halali, lakini hata mapenzi yapo...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Hamjalala?
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Wiki mbili zilizopita Balozi za Nchi za Magharibi walitoa tuzo ya Ushujaa kwa Wanaharakati wanaotumia social media, ktk tuzo zile hakuwepo mwanachama hata moja wa Chama Cha Mapinduzi karibu watu...
0 Reactions
8 Replies
952 Views
Nimekuja kutembea kidogo arusha niambieni viwanja gan vizuri ambapo naweza hata ona warembo jamani Kama wewe mrembo na uko arachuga njoo pm nikuelekeze nilipo tukale bata kidogo. Strictly...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Acheni kumwonea wivu mchunga kondoo. Mpaka mnaedit video. Watanzania acheni hizo aiseeh. Nb: Huyo pembeni ni mkewe sio bodyguard
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Nisaidien Apps Za Bila Malipo
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Nimda Wa kuchat wadau
0 Reactions
7 Replies
754 Views
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kama wewe ni mkulya- kaa kulia Kama wewe ni msukuma- kasukume wasukuma wenzio Kama wewe ni mjita- jitahidi ufikie malengo ulionayo Kama wewe ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mara nyingi safari yetu hapa duniani (njiani) huwa ni fupi sana, ndiyo ni fupi ila cha ajabu tunadhani kwako itakuwa ndefu kwa kuwa tuu una pesa, mtu wa heshima yake, una mamlaka! Yale ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati umetekwa na Wasiojulikana na ili wakuachie huru uchague moja wakufanyie kati ya haya yafuatayo:- 1) Wakutoe Nuru ya macho uwe kipofu, au 2) Wakutoe mdiso, "Jongoo asipande mtungi".
1 Reactions
4 Replies
654 Views
Bruce Forsyth mwaka 1983 alimuoa miss Puerto Rica, Wilnelia tofauti ya umri kati yao ilikuwa miaka 25. Mwaka 1973 Michael Cane alimuoa miss Guyana Shakira Baksh sasa hivi anajulikana kama Lady...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa herini Wana Jf ndivyo unavyoweza kusema.id mashuhuri kama ndege John haitakuwepo hewani kwa kipindi kisichojulikana.Nimeamua niwaage Mambo yamekuwa mazito nyakati hizi hapa ambazo hela hamna...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Tutaanza rasmi kufunga siku ya kesho. Bishop katuharibia swaumu asee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ila nashukuru Mungu tu kwamba Utafiti huu kwa Tanzania inaweza isiwe hivyo kwani tokea nianze Kuona / Kushuhudia na Kuhudhuria Misiba mingi Watanzania wengi huwa wanakuwa hawana Umbea wala Ulafi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
1.kupiga punyeto/kujichua 2.mahusiano ya kimapenzi asiyokuwa halali kisharia 3.kula/kunywa kwa kukusudia 4.uumikaji 5.kuvuta sigara 6.kufanya tendo la ndoa na mkeo muda wa mchana
0 Reactions
5 Replies
975 Views
Kipindi Cha , karne ya 14, barani Ulaya, walikuwa wanauwa paka baaada ya kuwahusisha na uchawi. Baada ya kuuliwa paka wengi, ulitokea mlipuko wa Gonjwa la TAUN/PLAGUE, ambao unasababishwa na...
2 Reactions
144 Replies
12K Views
Back
Top Bottom