Wakuu naomba, msaada hapa computer hii naitumia kila siku inawaka vizur, lakin leo imeguma kustart window.
Inadai Re-image your computer.
Nikijaribu kuruhusu inafall.
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati THU hii hao (HOUSE) ni noma.
3. Vile wewe mfupi, ukipigwa...
Chemistry bhna...
nakumbuka ...[emoji23] unaingia exam room unakuta swali hujawai sikia tangu Form one..
unaenda swali LA pili linasema explain your answer in Q1 above...unaishiwa nguvu...
Me uwa najishangaa sana nikipita karbu na mji wa mtu afu nikaskia demu wa pale anapigwa ile saut yake yaan akiwa anaria me kuna hisia zinazo kuja ndan yangu najikuta nisha smamisha et wakuu hili...
Najua wengi sana tunatamani kuwasiliana kwa kutumia emoji au picha.
Mwanamke changia uzi huu, mwanume atakayeku-quote, mjibu kwa kutumia emoji au picha yoyote.
Karibuni.
Kwa niaba ya wanaume wote mikoani hususan Arusha naomba kutoa tamko kwamba yule mwanaume aliebebwa na maji ya mtaro *siyo mwenzetu*. Yeye alikuwa abiria toka Dar aliekuja kumsamlimia rafiki yake...
Kesho ni siku ya wafanyakazi Duniani na mgeni rasmi ni ráis JPM mkoani mbeya,tutabiri yatayozungumzwa .
--Uhakiki umebaki na ukimalizika ataongeza mshahara kweli kweli tumpe muda.
--Mishahara hewa...
Hii tabia ya baadhi ya members Ku reply bila kuweka na kareaction kokote ni roho mbaya tu zinawasumbua.
Tujitahidi jamani kusambaza upendo wakati wa kureply.kuweka reaction yoyote.iwe ya...
Niende kwenye mada kabisa maana sihitaji kusalimia kwakua muda huu wasomaji mmeshalala..hahahah "im kidding"
Nimekua mfuatiliaji na msikilizaji mzuri sana wa vipindi vya michezo redioni hasa vya...
Nikiri tu yakuwa miaka mingi iliyopita mimi nilikuwa mshamba sana wa magari kuazia gari moshi na mabasi ya mikoani.
Siku moja nasafiri kutoka Arusha kuja Dar na basi maarufu sana kipindi hicho...
Yan kati ya stage ambayonais kijana yeyote huwa anaipitia ni hiii,
Na kifuatacho apo ni mwendo wa puli tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania katika Umri huu wa Taifa letu , tu Najua Au tu nahisi kuna Baadhi ya viongozi wetu wakuu wa taifa(Maraisi)!walilazimishiwa na tume ya uchaguzi na sio waliochaguliwa na wananchi na kuna...
Mkoa mmoja ndani ya Kanda ya ziwa, wikendi kama hizi hukosi kusikia kelele za muziki wa kikopo(kipazasauti) na spika kubwa iliowekwa juu ya pipa na kuninginizwa kidogo juu ili mdundo upatikane...
Habari za mda wa mechi ya young Africans na Azam
Nipo hapa kuuliz members kuwa Yuko wapi The list ameadimika Sana .
Amekuwa haonekani jukwaani Kwa mda mrefu hadi zikazuka za Chichi kuwa eti The...
Habarini zenu mimi naitwa SEME nipo makete natafuta mke wa kuoa sifa :-
-Awe na hofu ya mungu
-Awe na chura aka mzigo
-Awe na swaga kali kwa maana me naendaga maeneo nakutana na watu wa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.