Kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa tajiri sana, Mzee huyu alibahatika kuwa na binti mmoja na ambaye alimpenda sana na hata kumwandika kuwa mrithi wa mali zake zote pindi mzee atakapoiaga...
Habari wakuu! Matumani yangu mpo poa kabisa.
Kwanza kabisa nimekuta na mambo mawili ya ajabu hapa duniani
Jambo la kwanza.
KUMEKUWA NA UHITAJI WA PAKA MWEUPE ASIYE NA DOA (Bei yake ilikuwa 3.5...
Wasalaam wana chit chat wote
Namuulizia huyu mamake yupo wapi mana kimya sana almost week au week mbili hazijaonekana mbwembwe zake kwenye jukwaa. Kama mtu ana taarifa zake sio mbaya akatujuza...
*Mwanaume_ni_nani...!!!?*
Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!!
Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa la...
Wandugu namtafuta huyu ndugu yangu,
Sijamuona jukwaani muda mrefu na hata simu zake hazipatikani.
Ambaye anajua alipo naomba amwambie kaka yake amemkumbuka sana anitafute.
Wick , Hussein Melkiory
Najua mko powah wote.
Moja kwa moja niende kwenye kastore kangu nilipokuwa mdogo.
Mimi nakumbuka nilipokuwa mdogo mgeni akija nyumbani ilibidi wawe wananifungia chumbani maana wakimnunuria soda...
Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia...
Hodi wote wakuu! Tafadhari Sana wiki ijayo nasafari kwenda shinyanga naomba kujua ni sehemu ngani nzuri na bar gani kuna watoto wazuri kwa shy?
Nawasilisha
Hello JF!
Leo amezaliwa member mwenzetu, mwanadada Manengelo. Ni uungwana kutakiana heri kwenye nyakati muhimu za maisha yetu wanadamu.
Mimi binafsi, nakufaham kama mtu mwenye heshima sana...
Hii situation ya Wanaume wa Mtwara kujikusanya sehemu Moja kisa wanaogopa Upepo tena upepo wenyewe unaitwa jina la mwanaume mwenzao hii ni aibu ya Karne, ingekuwa Dar wangeongea sana*
*Wanaume wa...
Katika maisha haya ya mwanadamu hapa duniani tunapitia mambo mengi sana, hasa suala la afya ya binadamu.
Hivi ulishawahi kuumwa kichwa(homa) na ukajikuta mtu unaemeza dawa kila siku lakini hupati...
Hii situation ya Wanaume wa Mtwara kujikusanya sehemu Moja kisa wanaogopa Upepo tena upepo wenyewe unaitwa jina la mwanaume mwenzao hii ni aibu ya Karne, ingekuwa Dar wangeongea sana*
*Wanaume wa...
Hapa enzi zetu wahenga kungekuwa na amsha amsha tunapeana address tu za maeneo ya matukio na tunakutana kweli na Kula bata na Biriani.
Lakini sasa hivi kimya, nyie vijana vipi? Mbona mmezubaa...