JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
nimezipata wakati nipo nachunga ng'ombe kwenye pori fulani(sitalitaja kwa sasa) zilikuwa kwenye korongo moja ambalo nimeliona baada ya mbuzi msumbufu kutumbukia huko..... naambatanisha picha hapa
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Poleni na majukum ya siku nzima. nenda katika mada. Jamani Wafanya biashara ni wachawi sana hii nasema kwa kua imenikuta, tena mara mbili sehemu tofauti. kunda siku nilinda kununua simu kikawaida...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Wadada wenye makalio madogo msiogee sabuni za Rungu maaana inaweza kuyatoa ikijua ni chunusi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu naombeni kutagiwa.maana nasikia sikia tu "akikujib nitag" huko kutag ndo huwa mnamaanisha nini?embu nitagini na mimi nione. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
613 Views
Nimekuta madogo watatu wanagawana maandazi. Wamenunua maandazi mawili sasa kila mmoja anataka achukue moja halafu atakayekosa wamgawie, kilichonichekesha ni dogo mmoja kajiongeza fasta kawabia...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa kwl leo kuna wale majamaa wanao uza Maharage au mahindi mabichi wanaopita mjumban hadi huruma wanaongea kwanzia ananza kubebea mzigo hadi anapoenda kutua yan hadi huruma!! Kama kuna lingne...
0 Reactions
8 Replies
935 Views
Wale wa kushangilia Demiss kupewa talaka semaa oyooooooooo! Kuanzia leo mm siyo mke wa mtu nipo single kuendesha gurudumu la maishaa. Sijaachana kwa ubaya na kalumanzila ila alichokihitaji mm...
27 Reactions
313 Replies
18K Views
- Baba V asugua benchi baada ya kupigwa chini hii imetokea huko Chit Chat -Mwigulu Nchemba hajulikani alipo potelea source: siasani -Dr. Slaa akataa mjadala na Nape source: siasani - Bi mona...
0 Reactions
64 Replies
16K Views
Umependa michango yake.. Umempenda..... Unahisi anaweza akawa company yako umshirikishe ktk ishu zako .... Unapobofya ID yake... Unakutana na ujumbe mkali unaokuumiza moyo... " this member...
1 Reactions
0 Replies
345 Views
Habarini wana cit chat Zamani bana ilikuwa raha sana, unakuta mwanume unasoma Ndanda (Lindi) halafu demu wako anasoma Msalato (Dodoma), mwezi wa tatu unaandika barua unaomba kipindi cha rikizo...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama unapicha yeyote ulio piga na different position level ya leaders. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Huenda labda mimi sijui Lakin kusema kweli, sijawahi kuona mke wa Rais yeyote duniani mjamzito tangu nipate akili.. Nimejaribu kufanya research sijapata.. Labda ninyi wanajamvi...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana j.f Tushare pamoja kuwajua hawa watu japo hata kwa kuangalia Tabia zao....Mi Najua mwanaume akiwa anapigwa na mkewe Usiombe awe bosi wako Utakoma!!
1 Reactions
8 Replies
964 Views
Nani ameielewa hii wakuu!!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Bila kuchelewa naomba kuingia kwenye mada husika bila kupoteza muda Hawa mapolisi wa dar baadhi yao wanaroho mbaya na kichwani hamna kitu Kunandugu yangu mmoja anafanya kazi ya kuendesha bodaboda...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Asalam Aleikum warramatullah Taala wabarakatuh. Kwa wale wakristo ni Seme Bwana Yesu asifiwe. Nasikitishwa sana na matukio ya kigaidi ambayo yanakua yanahusishwa na Uislamu moja kwa moja. Growing...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii tafiti nimeiona kwa wengi. Wazaliwa wengi hasa wale waliokuta nyumba za familia hawamiliki mijengo. Wengine waliojisogeza wanamiliki kiwanja lakini kujenga anasubiri kikokotoo. Wale wa kuja...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Hapa naamnisha, tukiwa wadogo kuna maisha fulan tulikuwa tunayapitia Na kufanya matukio mbali mbali bila kujitambua vizuri. Sasa inapofikia umri wa ukubwan mnajikuta mmekaa Na watu tajwa kweny...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ulikuwa na umri gani ulipogundua kuwa neno HOSPITAL ni ufupisho wa House Of Sick People Including Treatment And Labour???
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Nahitaji chumba cha kupanga almaarufu kama GETO Kibaha mjini. Kikipatikana maeneo ya Maili moja itapendeza zaidi. Kiwe na huduma muhimu kama umeme, maji(hata yakiwa kwa upatikanaji wa kuchota...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom