nimezipata wakati nipo nachunga ng'ombe kwenye pori fulani(sitalitaja kwa sasa)
zilikuwa kwenye korongo moja ambalo nimeliona baada ya mbuzi msumbufu kutumbukia huko.....
naambatanisha picha hapa
Poleni na majukum ya siku nzima.
nenda katika mada.
Jamani Wafanya biashara ni wachawi sana hii nasema kwa kua imenikuta, tena mara mbili sehemu tofauti.
kunda siku nilinda kununua simu kikawaida...
Wadada wenye makalio madogo msiogee sabuni za Rungu maaana inaweza kuyatoa ikijua ni chunusi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naombeni kutagiwa.maana nasikia sikia tu "akikujib nitag" huko kutag ndo huwa mnamaanisha nini?embu nitagini na mimi nione.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuta madogo watatu wanagawana maandazi. Wamenunua maandazi mawili sasa kila mmoja anataka achukue moja halafu atakayekosa wamgawie, kilichonichekesha ni dogo mmoja kajiongeza fasta kawabia...
Kwa kwl leo kuna wale majamaa wanao uza Maharage au mahindi mabichi wanaopita mjumban hadi huruma wanaongea kwanzia ananza kubebea mzigo hadi anapoenda kutua yan hadi huruma!!
Kama kuna lingne...
Wale wa kushangilia Demiss kupewa talaka semaa oyooooooooo!
Kuanzia leo mm siyo mke wa mtu nipo single kuendesha gurudumu la maishaa.
Sijaachana kwa ubaya na kalumanzila ila alichokihitaji mm...
- Baba V asugua benchi baada ya kupigwa chini hii imetokea huko Chit Chat
-Mwigulu Nchemba hajulikani alipo potelea source: siasani
-Dr. Slaa akataa mjadala na Nape source: siasani
- Bi mona...
Habarini wana cit chat
Zamani bana ilikuwa raha sana, unakuta mwanume unasoma Ndanda (Lindi) halafu demu wako anasoma Msalato (Dodoma), mwezi wa tatu unaandika barua unaomba kipindi cha rikizo...
Wakuu,
Huenda labda mimi sijui
Lakin kusema kweli, sijawahi kuona mke wa Rais yeyote duniani mjamzito tangu nipate akili..
Nimejaribu kufanya research sijapata..
Labda ninyi wanajamvi...
Wana j.f Tushare pamoja kuwajua hawa watu japo hata kwa kuangalia Tabia zao....Mi Najua mwanaume akiwa anapigwa na mkewe Usiombe awe bosi wako Utakoma!!
Bila kuchelewa naomba kuingia kwenye mada husika bila kupoteza muda
Hawa mapolisi wa dar baadhi yao wanaroho mbaya na kichwani hamna kitu
Kunandugu yangu mmoja anafanya kazi ya kuendesha bodaboda...
Asalam Aleikum warramatullah Taala wabarakatuh. Kwa wale wakristo ni Seme Bwana Yesu asifiwe.
Nasikitishwa sana na matukio ya kigaidi ambayo yanakua yanahusishwa na Uislamu moja kwa moja. Growing...
Hii tafiti nimeiona kwa wengi. Wazaliwa wengi hasa wale waliokuta nyumba za familia hawamiliki mijengo. Wengine waliojisogeza wanamiliki kiwanja lakini kujenga anasubiri kikokotoo.
Wale wa kuja...
Hapa naamnisha, tukiwa wadogo kuna maisha fulan tulikuwa tunayapitia Na kufanya matukio mbali mbali bila kujitambua vizuri. Sasa inapofikia umri wa ukubwan mnajikuta mmekaa Na watu tajwa kweny...
Nahitaji chumba cha kupanga almaarufu kama GETO Kibaha mjini.
Kikipatikana maeneo ya Maili moja itapendeza zaidi.
Kiwe na huduma muhimu kama umeme, maji(hata yakiwa kwa upatikanaji wa kuchota...