JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mi nawakubali sana Mbwa mwitu. Au African wild dogs/ Lycaon Pictus. Hawa jamaa napenda jinsi walivyokuwa organized na uwindaji wao. Kawaida yao wanakula mnyama bado akiwa hai. Wanyama gani au...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Naomba kudeclare interest kabla sijaenda mbali: Mimi ni muumini wa mapenzi. Naamini katika ndoa yenye mapenzi na sio sababu nyingine. Nina rafiki yangu aliolewa siku kadhaa nyuma. Siku ya...
45 Reactions
134 Replies
11K Views
Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf? Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport...
3 Reactions
82 Replies
6K Views
Salaaaam wanaJF..... Uzi huu ni special kwa wale waliyobahatika kufungua zawadi kwa siku ya leo. Picha zizingatiwe kwa wale waliyobahatika kukumbukwa na vizawadi. Here we gonooooooo!!!
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Kiufupi mm nikisema niwatafutie usafiri max zangu nahisi nafaaa kukodi bus zotee za ABOOD BUS SERVICE za kutoka Dar -Moroo ndo watatoshaa. Nyongeza : Wenye mapovu na msiojua yani Demiss ni...
7 Reactions
172 Replies
7K Views
Pliz miss chagga najua mume wangu Ntuzu yupo kwako. Unaona raha gani kukaa na mume wa mtu huku mi mkewe nateseka peke yangu? Mwanangu romantic eyes karibia chuo kinafunguliwa baba...
7 Reactions
241 Replies
12K Views
Leo ni Mtanange wa hawa dada wa wili, Je nani unaelewa Swaga zake?? Shunie VS Mzigua90 Karibuni!!!
4 Reactions
346 Replies
14K Views
Jamanii asanteni sana wale wote mlionisaidia na hata wale mlio nibeza mungu awabariki sanaaa Leo asubuhi nilipata dharura kidogo nikawa sina pakuanzi kila niliye mtafuta kimya nikaona isiwe tabu...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!! Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu...
23 Reactions
91 Replies
6K Views
Miaka ya nyuma mpaka kura tulipiga nimeshangaa mabadiliko hakuna Tena thread ya hivyo nikasikitika mwaka 2018 unaishaje kinyonge Ila Mimi nagawa zangu.brand zangu Bora kabisa kwa hapa jf...
0 Reactions
7 Replies
941 Views
Mpaka sasa sijapata mwaliko wowote!.. dah mwaka mbaya sana huu.. na nyie wana jf au vyuma vimekaza??.. tukaribisheni nile cha mtume!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamaa anapost milioni 11 kasoro ila haina follower hata mmoja [emoji23][emoji23]
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habar wana JF Leo nakuja na Uzi huu wa kufungia mwaka 2018 "Unywaji pombe kiasi huleta shangwe moyoni na furaha rohoni" #MyTake Kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka,Jihadhari sana na...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Hii imenitokea juzi nikiwa na mishe zangu mjini morogoro Asalaleeee,,,,.usiombe hii kitu ikukute
1 Reactions
228 Replies
17K Views
Uzi maalumu wa kushares vibes na matukio yote ya bataz sikukuu hii, Mi nimetua dodoma hapa nikitokea mwanza, Nime chill Rainbow pub na ndo kuna uzinduzi wa JackDaniels.... Kesho naingia Mjini na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jf bhana kutokana na aina yangu ya huduma nakutana na member kibao. Kifupi huwez jua hata jina na avatar yake ila tunaelewana vizur kimbenbe kujuana Nick name tuu.... Ila thanks brothers and...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Yaani ikitokea kuna benzi limepaki halafu mbuzi ndio dereva... Utawasikia jamani baby i like your pembe!! [emoji23][emoji23]
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukijaaliwa uzima na afya,Karibu uje ule sikukuu ya X-mas nyumbani kwangu. Ila Jitahidi uje na Sukari kilo 1, Mchele kilo 2, Mafuta ya kupikia lta 2, Ndiz mbivu za kutosha, Nyama (steki) kg 6...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtu hata akifanikiwa akapata hela akikaa peke yake anawaza kifo.sasa Kama mbinguni Ni pazuri na umepanga uende usigeuke nyuma ki face kifo
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Back
Top Bottom