Hayo ni maneno ya msaidizi wangu wa nyumbani aka hg.
Nikamuuliza kwanini?
"Aaah bibi si nilimchagua Lowassa".
Kwanini?
"Niliona kama kaonewa na CCM".
Sasa nikusameh kwanini na hiyo ni haki...
Tujuane tunao anza mwaka 2019 tulio single boys na wale single girls na kwanini mpaka leo upo single.
Mie niko single coz my future wife kaenda kwa future husband wake na mie kaniacha solemba...
Mwaka ndo huo unakwenda kutuaga kabla ya kwenda mwaka mpya ni emojiz zipi umetumia kwa mara nyingi zaidi ktk kipindi cha miezi kumi na mbili inayoishia?
Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nilibahatika kumaliza kidato cha 4 mwaka jana lkni bahati mbaya sikufanikiw kufanya vizur kutokan na sababu Mbalimbali(hatanikiwaelezea...
Jump- Kriss Cross
Another night -The real Mccoy
Better off alone - DJ Alice
U cant touch this- MC Hammer..
I like big butts- Sir Mix a lot
Don't worry Be happy - Bobby McFerrin
Kichwa cha habari chahusika,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ yani nakimbiza 40 Inshaalah.
Nilikuwa na rafiki yangu wa kike tulikuwa kama dada na kaka tuliwahi kufanya kazi office moja by...
NIMESHINDWA KUPATA NAFASI YA KUSAFIRI KESHO KWENDA DAR KUTOKANA NA MSONGAMANO WA ABIRIA WANAOSAFIRI KUWAHI SIKUKUU. JE KUNA MWANAJF MWENYE USAFIRI BINAFSI KWENDA DAR KESHO? NIWEZE KUPATA NAFASI 2...
Nawatakia Christmass Njema wote.
Tunapojiandaa kusherehekea, tuwakumbuke na wale walio wagonjwa na wale watakaoshindwa kusherehekea pamoja nasi, kwa kukosa au kushindwa kwa sababu zao au...
Humu ndani nimesikia kuna watumiaji wa jf wa aina tatu ivyo basi nataka kuwajua kama wewe ni;
1) Mtu andika herufi M
2)Jini andika herufi J
3)Robot andika R
Salaam wakuu,
Nipo hapa ubungo sahizi kwenye Osaka nasubiri kucommence safari yangu ya kwenda chuga, aisee abiria ni wengi laana. Nafkiri baadae ntakuepo maeneo ya njooy pale sakina tukutane wadau...
Za jioni.
Kwa kweli lazima nikiri siku tatu hizi yaani juzi, jana na leo foleni Dar zipo ila zinatembea. Kuna trafiki tulimuuliza kiutani akasema gari zimepungua barabarani hivyo kusababisa foleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.