JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mida Fulani ya jioni hivi baada ya kutoka kwenye Mishemishe zetu ama shughuli za hapa na pale zinazotupa mapene na kufanya pochi zetu ziwe nene Huwa hatuna kilevi kingine zaidi ya Drafti...
16 Reactions
92 Replies
19K Views
NENO LA LEO MBINU UNAZO TUMIA KULA DADA ZA WATU NA WENZIO NDIO WANAZO TUMIA KUMLA DADA AKO.....NDIO MAANA MPAKA LEO HUJAMJUA...SHEMEJI YAKO
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahisi nikiwa makini naweza kuvumbua kitu kikubwa sana sababu ubongo wangu unafanya kazi kwa kina mno. Kuna wazo limenijia kwa nguvu sana kwamba kwa vile utumbo unaopeleka chakula unaanzia mdomoni...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
jamani ambaye anajua mdogo wangu huyu yuko wapi anipe majibu...... mara ya mwisho kwenye uzi wake wa kummwaga lecturer sikuweza kuongea naye nikasema nitamtafuta siku nyingine. kwenye uzi wa...
3 Reactions
102 Replies
5K Views
Habari wanamkeka? Wanaume akiri zikihamia kichwa kidogo, mwili wote unasizi kufanya kazi, mpaka kichwa kidogo kiflashiwe. Sasa unakuta siku hiyo ndio akili zishahama unarudi nyumbani kwa mama...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Unaweza kushare na wadau biashara uliyofanya alafu ikashindikana ili wadau wajifunze. ..karibu
0 Reactions
9 Replies
920 Views
Wale wa Machame, Kibosho, Marangu, Rombo, Uru na vijiji vyote tukutane hapa! Na kama kuna mwenzetu kaishiwa nauli tupange jinsi ya kumchangia sababu lazima wote tuende kule tukapongezwe tupewe...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
ukilewa unaamka na hangover,mara kutapika,kukojoakojoa,kutamani wanawake,matusi ,pesa nyingi inapotea,ukivuta dawa unakua na busara,unatafakari kwa kina,huwi mgomvi,unarelax,hutumii gharama,hakuna...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
bonge nyanya na bodaboda wapi na wapi..... [emoji23][emoji23] Chek hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena. Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba support yenu kwaku-subscribe kwenye hii YouTube channel yangu kwa clip mbalimbali zakukufanya ufurahi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cha mzaramo sio cha kukiacha kirahisi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Thought I'd end up with Sean But he wasn't a match Wrote some songs about Ricky Now I listen and laugh Even almost got married And for Pete, I'm so thankful Wish I could say, "Thank you" to...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna watu Hadi nawaonea huruma wanavyolalamika kwamba hawana hela Mimi binafsi nawashangaa Sana wazo la kwanza linalokuja huwa nahisi hawafanyi kazi wavivu.mbona sisi wengine michongo yetu imekaa...
0 Reactions
3 Replies
730 Views
Habarini waungwana Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna biashara moja ivi nilikuwa naifikiria kuifanya sana uzoefu nayo sina, kwahiyo nimeamua kuleta huu mjadala kwa wataalam ili mnipe...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza, mshamba ni mtu wa aina gani? Au maana halisi ya mshamba ni ipi?
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama, Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K. ila mnada maarufu sana kwa nyama ni...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
...simwambii mtu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Si hasubuhi, si mchana, si jioni, si usiku -- ni joto, joto, joto. Heshima ya jambo imeshuka kwa kasi majumbani, uh. Viyoyozi havina msaada kamwe. Mafundi Feni ndo wanapiga pesa msimu huyu.
0 Reactions
6 Replies
835 Views
uzi maalumu wa kuombana hela toa sababu ya kuomba hela tukusaidie kukuchangia.
0 Reactions
107 Replies
8K Views
Back
Top Bottom