Lawyer jokes
Question: Is there any difference between a good lawyer and great lawyer?
Answer: Yes. Good Lawyer knows the law very well. And a great lawyer knows the Judge!
Habari za usiku,
Nisiposema hili nitalaaniwa hata, Katika makuzi yetu kwa Namna moja ama nyingine tumeweza kuwakosea wazazi wetu hasa kina mama..
Hawa mama zetu ukiwakosea wanakimbilia Haraka...
Hakuna asiejua makapuku walivyotesa JF lakini kwa huu Uzi n salute..ukigusa tu ka utani malike kibao hawa jamaa ni creative sana na wako serious jpo title IPO kama masihara.
This guys ara...
Serikali ya kisiwa cha Guam imesema kuanzia mwezi January mwaka 2015 haitampokea mfungwa yeyote atakaefungwa kwa makosa mengine tofauti na uchochezi kutokana na magereza nchini humo kuzidiwa na...
Habari za siku yetu wafanyakazi
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye ban, maisha ya ban magumu sana. Ukiingia tu unakutana na kosa lako alafu unapewa siku ya kufunguliwa.
Sasa kipindi nikiwa ban...
Et jmn kama shahawa za mtu mwenye maambukizi ya virus vya ukimwi zikimwagika kwenye kidonda cha mtu asiye na maambukizi zinaweza kusababisha maambukizi?
Habari za Leo wana chit chat
.........Je, ni kweli mwanaume akiwa amechoka Sana wakati wa tendo la ndoa uume unaweza usisimame kwasababu ya uchovu alionao?????
NOTE: jibu swali km...
Raha sana, Mwanza tumebahatika kuwa na jengo zuri la kibiashara.
Zamani ulikuwa ukitoka mkoani ukifika jiji la samaki lazima ukapige picha pale kwenye samaki, kwa sasa tuna jengo jipya la...
Pamoja sana wanajf.
Jana 21/10/2018 maeneo ya wilaya ya Ilemela - Mwanza, kuna mvulana au niseme dogo mmoja hivi alishangaza wengi, na hata wengine kuishia kucheka (nikiwemo Nahuja mie)...
Kwema humu???!
Baada ya kufutiwa account ya Yna4 hatimae nimerudi tena..siku mbili bila JF wallah homa ilikua yaninyemelea.
Ila kama kuna mtu aliamua kutengeneza email na kuwafuata mods kuwaambia...
Sijui hata wamekuja kuwaje,wamekuwa waizi Sana kesi nyingi za udokozi wanawake wanahusika.me mwenyewe Ni shuhuda amekuja mdada dukani Tena mrembo katuibia simu na vitu kadhaa.kwenye mwendokasi...
Each time you masturbate, you donate sperm to the demonic kingdom. U are actually donating ur wealth and destiny to the kingdom of darkness.
If you want to prove what am saying ...
Unakuta kuna group la whatsapp mchanganyiko wanaume na wanawake,hilo group dhamira yake ni kuburudisha namaanisha video za kuchekesha,kuhuzunisha,ushauri,habari ,
Kitu nachoshangaa ni kwamba...
Aman Iwe juu yenu wakuu
Jana nimepokea ombi la mrembo matata kutoka jf anaitwa nahuja. Nahuja kaniomba niwe mpenz wake yaan kanipenda kimapenz
Anaonekana kafa kaoza juu Yangu
Pm Yangu Jana...
[emoji3578]Iwe CCM iwe CHADEMA sawa tuu.
[emoji3578]Uwe mnene uwe mwembamba sawa tuu, sie twala
[emoji3578]Awe JPM awe ENL poa tuu.
[emoji3578]Uwe na chura uwe hauna sawa tuu, sisi twala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.