Wasalaaam,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Mimi ni miongoni mwa wadau wanaopenda kula Mahindi ya kuchoma.Lakini nimekuwa naona Ulaji wa mahindi hunoga utamu kipindi ambacho kuna...
Tusipo jibadilisha na kujiendeleza sisi kama Tanzania na Africa kwa ujumla tutakuwa watumwa wa kiteknolojia au watumwa wa kidigitali mbaya zaidi na ni bora hata ule uliopita . Kama nchi inabidi...
Mke baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji mme wake kalazimika kuvumilia kwa zaidi ya miezi mitatu bila fufanya tendo la ndoa hadi akaanza kutokwa vipele usoni pamoja na vijipu [emoji15] wanaume...
Wakuu Kama Mimi ndo sielewi kabisa.me nimevurugwa eti.me Ni chizi.kwa hiyo nataka kwenda mbele ila sielewi nipite wapi afu ukitegemea life linatumaliza.elimu ya bongo miyeyusho.kwanza wame tight...
Jana nimekaa karibu na madada wawili maeneo ya mjini (Kumbuka sio kila sehemu Dar ni mjini) restaurant fulani nikipata juice ya miwa.
Hao madada walionekana kusurf sana Jamiiforums hasa MMU...
Anajulikana kama SHUNDU, CHURA, BANDA LA UANI, LENS MBINUKO, REVERSE, SOFA na mengine mengi ambayo waja wamebatiza.
Kiukweli me mwenyewe ni muhanga wa hili dubwana, likipita au kupishana nami...
wakuu habari zenu
nimekaa apa nacheki move ya yesu naskiliza hizi kauli zake nabaki najiuliza hivi kama yesu angekua mwanamziki angeimba nyimbo za aina gani?
mi kwa mtazamo wangu kutokana na...
Swalamaah [emoji1538]
Leo siku imepita kesho pia itaitwa leo ikifika.
Wahenga walisema "Muungwana ni vitendo" je na wewe ni muungwanaa!?
Utajuaje kama wewe ni miongoni mwa jamii ya waungwa...
Mwenzenu kwetu mwanza nyegezi karibu na nyumba ya wageni ya kumalija....madereva wote wanakijua kituo cha nyegezi hata bodaboda na bajaji wanapajua. Karibuni sana.
Tsap fellaz [emoji1534]
Leo pita pita zangu nmekutana na mwanangu wa kitambo sana, unajua ilikuwaje?
Mimi sina hili wala lile nashtuka tu mtu ananigusa bega, "oya Mgenii vipi msela?" Kwanza...
Wakuu poleni na kazi.mimi sina kazi wala sina majukumu.mimi toka nije dar es salaam kwa ndugu yangu nikafikia maeneo ya chanika sikuwahi kupata nafasi ya kuzurura mjini.sasa leo asubuhi ndugu...
Nafanya kazi ya boda boda muda sasa.. Miezi 2 iliopita nilihama kijiwe maeneo ya sinza nikahamia magomeni
Ebana hiki kijiwe kina abiria balaa yani hukai muda wote uko bizee, Sasa kuna abiria...
Kuna jamaa anaishi na girlfriend wake, jamaa hana kazi, hela wanayoitegemea ni dada kwenda kutafuta wateja usiku kwenye hoteli za kitalii. Jamaa halali mpaka bibie arudi na akirudi anamuwekea...
Kiukweli huwa mnatutia genye sana na hizi avatar.
Yani unatamani kumfuata mtu PM kisa avatar yake.
Afu mkija humu mnalalamika mnasumbuliwa. Si muweke avatar ya sura mbaya muone km kuna mtu...
...tuwanange na kuwapuuza wote wale wanaodai eti timu yetu ya taifa (Taifa Stars) imefungwa huko Lesotho. Tuwe wazalendo na tuitetee nchi yetu.
Magufuli oooyeee! Hapa kazi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.