JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ARV
Dawa za ARV za siku hizi naziona kama zinakauchachu fulani hivi. Vipi nyie wakuu mwazionaje?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi jf, Katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa juzi, kuna Mjomba yangu kapata wastani wa A", akiwa na A" ya hesabu na ya kiswahili na masomo matatu akiwa na B". Sijajua...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Habari wakuu! Baada ya kufanya uchunguzi wangu toka mwaka huu uanze juu ya dalili kadhaa za ndugu zangu, majirani zangu, wafanya kazi wenzangu na hata mimi mwenyewe kwa nyakati tofauti nimegundua...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kuna vitu vingi sana vya kujivuni kwa sisi tulio bahatika kuwepo miaka ya 199.... Binafsi nilikuwa napenda sana hadithi za babu na bibi enzi hizo,hadithi za shule ya msingi...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Siamini kabisa kiufupi leo nimemaliza mwezi kabisaa leoo [emoji123][emoji123][emoji57][emoji57] Heko kwa kuweza kutunza mbunyee hiii Shemeji yenu yupo masomoni natarajia kukutana naye mwezi wa 12...
19 Reactions
485 Replies
24K Views
kwa wale tuliopo dom city..huu ndo uzi wenu wa kutiririka hapa.. kuanzia viwanja.. yaani bata batani...kwa wajanja wote basi hatukosi night club kali kama, maisha club, club 7,club laaziz, club...
2 Reactions
239 Replies
10K Views
Katika mishe mishe za kutumwa na bosi nkaenda ofisi moja nkakutana na secretary wa haja toka tanga kimuonekana yukokama masogange sema huko nyuma lawama zaidi . Basikidume nikajikaza nimtoe lunch...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Binafsi nna group moja tu la family... Huwa nawashangaa sana wale wenye groups karibu 50+ za Whatsapp hivi huu ni ujanja au ni ulimbukeni? Isije kuwa mie ndio mshamba?!
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Kipindi nasoma nakumbukua nilikutana na hii kitu basi nilikua nasimama kwenye pesa tu na leo ndo naelewa ukiwa na pesa kila kitu ni mteremko tu!!! Vipi kwa upande wenu wadau wengine imekaaje?
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Tabora Tuna Raha Sana Hata Mboga Hatuhangaiki Tuna Mboga Za Uyoga Wa Uhima. Kansolele. Nsansa. Nswalu. Mlenda Wa Malendi Ya Wima. Mlenda Wa Malendi Ya Tyege. Kisanfu. Kihembe Cha Kafuto Kihembe...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
nadhani hii ni jokes fulani ila sijaelewa hicho kingereza chake. anamainisha nini?. nimeishia darasa la saba na nina uelewa mdogo sana wa lugha kingereza, wale magwiji wa lugha hii mtusaidie...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nakumbuka 2015, nilikutana na mrembo mmoja pale samaki samaki m'city, nikiwa nnatoka namuona demu kakaa chini anaongea na na simu huku analia nikaona nimuulize tatizo nini hakujibu nikampa...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Wiki iliyopita nilisafiri kwenda Tanga, nilipanda basi la Raha Leo. Pembeni yangu alikaa mwanaume amenizidi miaka kama 10 hivi. Nilikuja kugundua baadae ni m-Pakistan na Kiswahil aliongea kidogo...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
kama heading inavosema nina uhitaji wa kitabu kinachoitwa succesfully system sijajua kimeandikwa na nani nimeshindwa kwenda jf store kwa sababu zangu binafsi
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Wanawake wengi watadai malipo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.... Njaa ikiuma ukimeza panadol njaa itapona? Maana yote ni maumivu...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Yani kila hospital ninayopita sijawahi kutana na Dr asiye na mvutooo. Duuuh wanajua kuvaa hasa suruali za kadeti mashati yamenyooshwa vizur yani mahandsome[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]...
13 Reactions
321 Replies
20K Views
Tunajua wengi tunapoelekea mwisho wa mwaka huu, lazima turudi nyumbani, kusherehekea pamoja sikukuu ya christmas na mwaka mpya. Tunawakumbusha mnaokuja huku vijijini mubakikishe mnakuja na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii vita itaendelea kuwepo siku zote na hakuna mshindi atakaye kuja kupatikana!!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto...
2 Reactions
170 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…