Chukua Magome ya mwembe, Majani ya mpera, Miziz ya Mkorosho changanya na Mkundekunde kisha pondaponda majani ya mpapai,
Chemsha dakika15
Halafu Chuja vizuri
Kata ndim 10 na robo lita Asali...
Huyu jamaa kaenda wapi sometime kumbe alikuwa anaongea ukweli.inawezekana sisi tunamuona Kama niaje kapinda.lakini yako mambo ya msingi alikuwa anaelezea.namkubali sana sijamuona jf kitambo
Wakuu habar za jion Mimi ni kijana jinsia ME, Leo saa 6:01 usiku natimiza umri Wa miaka ishirin na saba (27) Namshukuru mungu mungu , wazaz , ndgu na rafiki.
Hivyo napenda tujuzane ni vitu gani...
Hivi kwanini hawa watu hawakomi.
Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy.
Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu...
Muonekano wako wa nje ni matokeo ya kile ulichokijaza moyoni mwako .
Ikiwa umejaza mema utaonyesha mema na mabaya utaonyesha mabaya .
Your outdoor appearance is the result of what you have...
Holla,
December is coming, kibubu kimejaaa mahsusi kwa ajili ya matumizi ya December yuuhuuuuu.
Leave that apart, napenda sana kudance miziki inayochezeka kama hii, na nikiwa kwenye dancing...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Nimejiunga JF kama miaka 3 inakata sijapokea msg yoyote hadi nimejishtukia,
Kuna member ambae ana mwaka zaidi ya mmoja na hajawahi kutumiwa msg pm tangia...
Nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kifua upande wa kushoto katikati karib na titi. Majibu ya Hospital ndogo ya rufaa kipimo kilireact normal, nikaambiwa sina shida. Huko Muhimbili kiliandika...
The prove of wisdom is wish to learn even from children.And the haste of youth must learn its temper from the gloss of ancient leather,from strength knit close along the grain.
The school...
Habari za usiku wanandugu!
Kuna hali moja unakuta ukitumia jina fulani unakuwa maarufu haraka na unafanikiwa haraka, Halafu kuna jina ukitumia unakuta hufanikiwi na kama unafifia Flani hivi!
Kwa...
Kumekua na katabia ka kuanzisha nyuzi za kitoto za tukutane hapa zinakera sana.
Mtu frm no where anakuja na uzi kama umewahi kula chakula basi tukutane hapa[emoji23] [emoji23] seriously?? kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.