Mungu ashukuriwe sana kwa neema na baraka zake.
Nimepata ajali ya kugogwa na gari wakati nakatiza njia .
Nashukuru nipo salama ingawa nimepata jeraha dogo.
Ahsate sana M/Mungu kwa kunilinda
Tunajaribu kuzungumza kidogo,
Hivi, Morogoro road ni jina la barabara au tuseme ni neno au je? na je, ni sawa kusema hivi "Niko barabara ya Morogoro road?"
Na Kwa mfano wa Zulu wakiongea ki...
Kila nikimwangalia huyu Mtoto Baby KiwiGani na maisha mazima ya Ukurupukaji wa Baba yake Mzee wa Kukurupuka na Upopoma nahisi akikua anaweza akaomba tu auliwe au hata ajiue tu ili asipate aibu...
Mwanamke mdanganye tu hakuna namna. mwanamke wa kumwambia ukweli asilimia Mia Ni mama mzazi tu ambaye mpo naye mpaka mwisho.raha ya kukaa na mwanamke mpenz mdanganye..japo uongo hausaidii Sana ila...
Jirani yangu maarufu kwa jina la mama zey kaja kuomba hifadhi leo ajiegeshe hata sebuleni mpka kesho asubuhi mumewe akili zitakapo mrudia vizuri..kiss chenyewe anasema jamaa yake karudi kalewa...
unaiba mke wa mtu unaenda nae gest ya mbali kumbe kuna wanoko wanakuchora, mshamaliza kila kitu ile unatoka tu nje unakamatwa
unavuta sigara kituo cha polisi afu me nakuja najamba silence...
Hali ya hewa ya leo hapa T ilinitesa sana imefanya nizini.
Bi mkubwa amesafiri kidogo akaamua kumwambia moja ya mfanyakazi wake akae home siku kadhaa kwa sababu nipo peke yangu,sijui hakufikiria...
An 8 year old son asks his dad, "What's
the difference between 'Potential' and
'reality?'"
Dad turns to wife, "Would you sleep with
Barrack Obama for $1 million?''
Wife answers, "Of course, I...
Binafsi nilijiungaa nikiwa kidato cha tatu mwaka 2013,niliifahamu kupitia youtube kwa sababu youtube ndio ilikua sehemu yangu ya kupatia maarifa,kujua habari zamichezo na siasa za nchini...
Mwanaume anapokutana na msichana mrembo asiyemjua njiani harafu mrembo huyo akaomba msaada wa nauli kwamba amekwama...basi sina shaka mrembo huyo nauli atapewa na namba ya simu ataombwa mara...
Comment kwa kuandika simu yako model yake unayotumia tujue Ni simu gani Kama Ni kampuni ya tecno au Samsung au iPhone mwisho wa siku tutajua simu gani inaongoza kutumiwa na Wana jf
Naanza Mimi...
Rafiki yangu wa siku nyingi amestaafu miaka mitatu iliyopita. Baada ya kupata kiinua mgongo chake akaamua kutafuta washauri jinsi gani atumie fedha zake katika miradi mbali mbali ili iwe endelevu...
Kila toleo jipya la simu anataka nami sina noma namnunulia na juzi juzi kaja anataka laptop ili amalizie kazi zake za chuo kwa muda muafaka nami niaona ni jambo jema nikamnunulia.
Wiki...
Preacher said: "If I had all the beer in the world, I'd take it and throw it into the river". And the congregation cried, "Amen!"
"And if I had all the wine in the world, I'd take it and throw...
Dada yule alikuwa ame mu add mumewe FB wakawa ni marafiki.
Dada pamoja na mumewe niwatumishi wa umma idara ya afya.
Mumewe akawa amepata safari ya zaidi ya mwezi mmoja humu humu ndani ya nchi...