Chakula kinatupa nguvu, na mahitaji mengine yanayofanya uhai uendelee. Ni kawaida kutoa uchafu baada ya chakula tunachokula kutumika mwilini.
Kama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi...
Natumaini wote mu wa wazima wa afya. Kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale ninawaombea wapate nafuu.
Swali langu ni hili, hivi yule mpenz wako mliekuwa mnaongea nae usiku kucha mpaka simu...
Kama wengi tunavyoijua isidingo, mi tangia nizaliwe hadi leo bado haijaisha.
Basi huu ni uzi wetu wa maisha yetu hata watakao jiunga jf waukute na watakao ondoka wauche bado upo.
Lengo la huu uzi...
Habari wanajamvi
Wanaume mmezidi sasa,kama ni wivu umezidi kiwango
Upo kwenye social network kama vile insta,fb,jf na nk
Kama kawaida sisi wanawake tunapenda kupost picha mbalimbali kuonyesha...
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa
Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi...
Mwalimu alikuwa anafundisha kuhusu utawala ikawa hivi;
Mwalimu:diwani anachaguliwa na wananchi,Rais na wabunge wanachaguliwa na wananchi na....(ghafla wanafunzi wa upande wa nyuma wanaanza kuongea...
Mimi na mke tumekuja kipindi hiki huku kijijini Arusha.Nyumba yetu ya huku kijijini bahati nzuri umeme wa REA umepita karibu,ule wa elfu 27 tukawa tumevuta.Nilipoenda Tanesco nilijiandikisha kama...
Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi au wanapenda kuwachungulia kwa kuwashangaa walio kwenye daladala?
Unakuta barabarani dreva anaacha kuangalia mbele badala yake anachungulia kwenye...
Eti toka january mwaka huu uanze nani kakuvutia sana kutokana na thread zake ba comment zake?
mimi kuna
-Malco lumumba
-Habbu anga
-Damushin jukwaa la korea siriz
Yaani kila ukiinua kichwa yumo anakuangalia tuu,ukisema upotezee ukirudi tena yumoo..wataalam wa mambo msaada hapa hii ina maana gani? Au nyie wadada kwa nini huwa mnatufanyia hivyo watoto wa...
Kuna kundi hili la makoma hawa wakongo walikuwa wanaishi Belgium hivi bado wapo na maswala ya muziki au walishaachaga muziki maana Kuna nyimbo yao ya buti na moyi ilikuwa inanikosha sana japo...
Habali wakuu nimeleta Uzi unaosimama upende sahihi WA wake zetu sisi wanaume, sina shida na wapenzi nasema na walio ktk ndoa, wanaume sisi sio waaminifu kabsa mwanaume tumekua wasaliti sana...
Haki sawa kwa wote ni jambo linalopigiwa upatu sana,mpaka wengine wakafika mbali kupiga kura za veto.
Huwa nahisi kama vile tatizo ni la kubananga lugha na sura ya mtu tuambiwe si mtu ni mbuzi...
After sex she will text you.
"Sex should last atleast 45 minutes. Imagine the hard labour of dressing up a skinny jean for a lousy 5 minutes. Whatch it next time.!"
Sent using Jamii Forums...
Aisee tukio ambalo siwezi kulisahau nilile nililokojoa mkojo kwenye kopo na kunywa baada ya kubanwa na kiu kikali halafu nyumba imefungwa mlango balaa yaani...
Vipi wewe ni tukio gani ambalo...
rejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.