JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Chakula kinatupa nguvu, na mahitaji mengine yanayofanya uhai uendelee. Ni kawaida kutoa uchafu baada ya chakula tunachokula kutumika mwilini. Kama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Natumaini wote mu wa wazima wa afya. Kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale ninawaombea wapate nafuu. Swali langu ni hili, hivi yule mpenz wako mliekuwa mnaongea nae usiku kucha mpaka simu...
1 Reactions
69 Replies
4K Views
Kama wengi tunavyoijua isidingo, mi tangia nizaliwe hadi leo bado haijaisha. Basi huu ni uzi wetu wa maisha yetu hata watakao jiunga jf waukute na watakao ondoka wauche bado upo. Lengo la huu uzi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Wanaume mmezidi sasa,kama ni wivu umezidi kiwango Upo kwenye social network kama vile insta,fb,jf na nk Kama kawaida sisi wanawake tunapenda kupost picha mbalimbali kuonyesha...
0 Reactions
81 Replies
4K Views
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
mimi ni mfupi ila nataka kuona wivu, je nisimame wapi ili nione vizuri
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwalimu alikuwa anafundisha kuhusu utawala ikawa hivi; Mwalimu:diwani anachaguliwa na wananchi,Rais na wabunge wanachaguliwa na wananchi na....(ghafla wanafunzi wa upande wa nyuma wanaanza kuongea...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi na mke tumekuja kipindi hiki huku kijijini Arusha.Nyumba yetu ya huku kijijini bahati nzuri umeme wa REA umepita karibu,ule wa elfu 27 tukawa tumevuta.Nilipoenda Tanesco nilijiandikisha kama...
7 Reactions
74 Replies
5K Views
Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi au wanapenda kuwachungulia kwa kuwashangaa walio kwenye daladala? Unakuta barabarani dreva anaacha kuangalia mbele badala yake anachungulia kwenye...
10 Reactions
157 Replies
10K Views
Eti toka january mwaka huu uanze nani kakuvutia sana kutokana na thread zake ba comment zake? mimi kuna -Malco lumumba -Habbu anga -Damushin jukwaa la korea siriz
2 Reactions
173 Replies
8K Views
Yaani kila ukiinua kichwa yumo anakuangalia tuu,ukisema upotezee ukirudi tena yumoo..wataalam wa mambo msaada hapa hii ina maana gani? Au nyie wadada kwa nini huwa mnatufanyia hivyo watoto wa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mnaonunua nguo za ndani (chupi) za mtumba mna moyo sana!! . Endeleeni na moyo huo huo. Yajayo Yanafurahisha.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
WABONGO WANAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DAR-ES-SALAAM KAZI KWELI IPO: "Wizi" MBAGALA "umbea" MWANANYAMALA "mapenzi" KIGAMBON "vibaka" KARIAKOO "majivuno" MASAKI "majungu" TANDALE "ushamba"...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna kundi hili la makoma hawa wakongo walikuwa wanaishi Belgium hivi bado wapo na maswala ya muziki au walishaachaga muziki maana Kuna nyimbo yao ya buti na moyi ilikuwa inanikosha sana japo...
1 Reactions
2 Replies
857 Views
Habali wakuu nimeleta Uzi unaosimama upende sahihi WA wake zetu sisi wanaume, sina shida na wapenzi nasema na walio ktk ndoa, wanaume sisi sio waaminifu kabsa mwanaume tumekua wasaliti sana...
0 Reactions
2 Replies
464 Views
Haki sawa kwa wote ni jambo linalopigiwa upatu sana,mpaka wengine wakafika mbali kupiga kura za veto. Huwa nahisi kama vile tatizo ni la kubananga lugha na sura ya mtu tuambiwe si mtu ni mbuzi...
0 Reactions
9 Replies
938 Views
After sex she will text you. "Sex should last atleast 45 minutes. Imagine the hard labour of dressing up a skinny jean for a lousy 5 minutes. Whatch it next time.!" Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
14 Replies
816 Views
Aisee tukio ambalo siwezi kulisahau nilile nililokojoa mkojo kwenye kopo na kunywa baada ya kubanwa na kiu kikali halafu nyumba imefungwa mlango balaa yaani... Vipi wewe ni tukio gani ambalo...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
rejea kichwa cha habari hapo juu nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama...
3 Reactions
238 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…