JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, habari zenu bhana...aisee kuna hii kitu nimejaribu kufanya kautafiti kidogo matokeo yake yananichanganya. Ni hivi, ni kwann mtu akitoa uchafu puani kwa kidole ni lazima aangalie kabla...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Mimi naanza 1: VUA 2: UZI unaweza endelea
2 Reactions
145 Replies
10K Views
UTAFITI KILA MKOA JUU YA WATOTO WAKIKE WANAOJITUNZA, UTAFITI HUU UMEHUSU WASICHANA WANAOFIKA UMRI WA MIAKA 25 WAKIWA BIKIRA, ( VIRGINITY PERCENTAGE AT 25 YEARS OLD) KATI YA WATU MIAMOJA WAFUATAO...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
#31# ~ Hides Your Number in All Outgoing Calls. *#06# ~ Show Your Imei Information. *#*#4636#*#* ~ Shows WiFi Signal, Battery, Statistics Usage & Others Information. *#*#7780#*#* ~ An Instant...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la Mashoga sikuizi, ukifatilia chanzo kikubwa ni wadada. Kunajamaa mmoja kaniambia kwamba, yeye alikuwa na dem wake. Sasa yule msichana akawa anamlamba yule...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za humu! Nimeingia town Kampala, huku hatari mazee yaani kila unaepishana nae ni kimini tu. Huku ukimuona mtu kavaa dela anaonekana ni mtz. Kuosha macho utachoka mwenyewe. Picha nimeshindwa...
9 Reactions
129 Replies
35K Views
Hakuna kipindi kigumu kama hiki ambacho majina halali ya wanawake huleta changamoto Mwanamke hajaolewa hutumia majina ya wazazi wake wa kumzaa lakini anapoolewa hubadilisha hutumia jina la mume...
0 Reactions
3 Replies
684 Views
Huku tuki refresh mind na pilikapilika za kusaka tonge tupumzike kwa kutaniana kidogo Mtanie wa juu yako hadi aombe poo!! [emoji44]
5 Reactions
513 Replies
64K Views
Wimbi la kuhama vyama vya upinzani laikumba china mbunge mwingine ahama upinzani china ahamia sisi M Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
769 Views
Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?
2 Reactions
87 Replies
58K Views
Mwanamume mmoja nchini Kenya ameshushiwa kipigo na majirani huku mke wake wa ndoa akishangilia Mwanaume huyo ambaye alikuwa amelewa alianza kumbugudhi mke wake kwa matusi na kelele ambapo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wimbi la wabunge kuamia ccm limefika nchini CHINA mbunge wa nchi hiyo nae ameamua kuunga juhudi za Rais mkono kaingia CCM leo tunategemea jina lake kupitishwa kugombea kati ya hapa hapa Tanzania...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Tumekuja kuoa huku karakata, tumekaribishwa sebuleni kwenye mikeka, wakati chakula kinagawiwa kimetokea kituko cha mwaka, wamepita panya wawili wakubwa kwa kasi mpaka kwenye masufuria ya pia na...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Tangazo Tangazo natafu wafanyakaza wawe namika 18,27 awe ana chet chasho awe amifika fomufo? Awew anaju ingish vizurd nipatikana namnba 0755721252
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Muda mrefu nimekuwa nikisikia kuhusu wanaume wa Dar es salaam nikawa sielewi elewi ila huyu paka kanisaidia kuelewa kaulimbiu ya "Wanaume wa Dar es salaam Bwana, ...:p!.
1 Reactions
2 Replies
576 Views
heshima kwenu wakuu! kama ifahamikavo kila mkoa / jiji lazima kuwe na vituo vya daladala kwaajili ya usafiri. Lengo la uzi huu ni kupeana mwanga kwa wale wageni na wasio jua wapi pa kupandia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Bangi sitoweza kuisahau kwenye maisha yangu sababu ya faida kubwa iliyonipatia na kunisaidia kwenye kufanikisha ndoto zangu . Wakati nasoma shule sikuwahi kusimama mbele ya darasa na kuzungumza...
7 Reactions
60 Replies
8K Views
He Wallah Mungu Kanipa Nilichomuomba MashAllah Raha, Na Wala Si Shriki Huba Tulimenisomba Nala Nalala Jamani Rahaa. Ntakulinda Kwa Kunuti Nitapiga Na Jihadi Pendo Liwe Madhubuti Wasiingie...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Huwa napitia baadhi ya maoni ya wadau kadha wa kadha na kuona ishara ya watu kuwa wapo kwenye mahusiano. Swali je huwa ni ya kweli au mizaha ya kusogeza siku tu... ? Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom