JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yes,it is the time to show those who are laughing at us with our poor english Please comment anything by using our kayumba's english welcome NOTE BEEN;correct you member where you think his/her...
5 Reactions
168 Replies
12K Views
Kuwa makini
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanawake akili zao bhana Unamtongoza demu halafu ana kuuliza kama una demu mwingine hivi uliona wapi mtu anaenda kununua nguo akiwa uchi
18 Reactions
54 Replies
4K Views
Wana Bodi, nimeanzisha thread hii ya kujulishana maeneo tunayolia bata weekend hii, Mimi Niko Maeneo ya Kawe beach nabarizi huku nikila vitu (bia)na marafiki Wewe uko maeneo gani muda huu
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Mzuqa, Hii niliipataga Chuga kijiweni miaka ya nyuma. Jamaa huko Shinyanga ghetto kila akianza kulala kuna mchawi tena jirani yake anaanza kumpiga juju kwa kumbughudhi kwa kelele za sauti za...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Tuweni wa kweli,wadada na wakaka ambao bado ku do,na je?tu handle vipi the real situation mitaani kwa maseng'enyo,matambo,matukano na unafiki kwa watu ambao wanesha experience haya mambo.kama...
3 Reactions
85 Replies
7K Views
Gor Mahia have rejected an offer of £12million from Manchester United for the transfer of central defender Harun Shakava. #MUFC #DeadlineDay TransferNewsCentral on Twitter Wakati huo huo... Klabu...
2 Reactions
2 Replies
986 Views
Mambo ya kushangaza na itikadi kuhusu tendo la ndoa duniani Tendo la ndoa huaminika kuwa miongoni mwa mambo ya kale zaidi. Bila shaka, binadamu hawangeendelea kuwepo bila kujamiiana. Lakini jinsi...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Headaches
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea? Rafiki anakujia na shida zake. Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha. Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote! Unapoteza rafiki na hela zako...
9 Reactions
82 Replies
7K Views
Ligi kuu nchini Uingereza inaanza ijumaa, nimeangalia kwenye livescore table nimekuta timu ya Asenal wapo kileleni, hii ni faraja kwa wapenZi wa timu hiyo Maana mara ya mwisho kukaa katika nafasi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jumuiya wenzangu amani iwe kwenu. Leo ni sikukuuu ya Nanenane… tunaendelea mdogo mdogo hapa Arusha . Tunang'ata kidogo kidogo na tupo na watoto wakaliiii balaa! Hivi siku nzuri za kunywa...
0 Reactions
127 Replies
12K Views
Wakuu hii ishu mnaishughulikia vip? unakofolea tu macho makalio na kupata burudani? unajivunga na simu na kuangalia pembeni? vipi ukiwa na wife, unahandle vipi hii situation.
5 Reactions
68 Replies
12K Views
Leo nimekaa nikawa nakumbuka baadhi ya wadada kadhaa niliowahi kuwa nao na hapo ndipo nikamkumbuka binti mmoja wa kichaga tulikutana chuoni Sauti Mwanza. Alinisumbua kidogo kumwingiza box ila...
6 Reactions
24 Replies
6K Views
*Jamaa mmoja* *alimuuliza* *Mpenzi wake:* *Kati ya Mimi* *na Choo* *Nani unae* *mpenda zaidi.?* *Demu akamjibu:* *Nakupenda wewe*, Mpenzi wangu Jamaa akasema Pumbavu nini we muongo mbona...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
*HAKUNA SWALI AMBALO SILIPENDI KAMA PALE KINYOZI WA SALON ANAPO KUULIZA "VIPI MASHINE INAUMIZA"* [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
3 Reactions
12 Replies
3K Views
jaman Ndoto ni kitu ambacho toka nizaliwe hadi hapa nilipo naota mambo tofauti2, sasa nashangaa wale wanaofuatilia walichokiota, sijui watafuatilia ndoto ngapi, anyway tushare hapa ndoto nzuuri au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1-kukaa vijiwen bila kazi yoyote,siyo jambo geni 2-mwanamke kumsingizia njemba ujauzito usio wake siyo jambo geni 3-chama pinzani kuyakata matokeo ya uchaguzi,siyo jambo geni 4-kumdanganya binti...
2 Reactions
64 Replies
3K Views
USHAMBA WA MSUKUMA UKO WAPI? Ninavyomfahamu 1.Hapendi makuu,ukimchokoza anasema KAYA YA NG'WOBA NAYO KAYA ili siku ipite salama. 2.Hapendi kesi,ukimdhurumu anasema MAGUZU MASESE ili asipoteze...
8 Reactions
30 Replies
6K Views
"Nilisikia phuuu!!!! kama tumegonga kitu kigumu..." "Mhh!!!.."
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom