Niaje Wazeiyaaaaaah....
EBANA SAWA:
Nimecheka mpaka kidogo nijikojolee baada ya kusikia madem wa humu MMU wanataka kuandamana kupinga kuitwa madem....
Yaani mnataka kuikana gender yenu...
Niaje wazeiyaaah....
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Mwanaume na akili timamu zilizo timamuka.... KWELI unataka kusema unaweza kuwa na mwanamke mmoja tuu maisha yako yote.
Kwahiyo kama demu...
Tokea kuanza kwa kuchangamka JF Nakumbuka kipindi hicho sijabadili username, kuna watu hawa ndo walitawala hapa JF
1. malcolm Lumumba
2. Kagemro
3. Paul Makonda
4. BAK
5. @Ocampor Four
6. faiza...
Hey wananichit chat napenda sana hivi visamaki vya urembo naomba kujua matunzo yake yanakuwaje ili visife,kuvinunua gharama yake ipi pamoja na chombo cha kuwahifadhia navipenda sana kuna muda...
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi
Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Jamani leo gheto langu jeupe kabisaaa...X wangu kasepa na baadhi ya vitu ghetoni kwangu.
Vitu alivyochukua;
Pufyumu 2, kioo, mafuta ya kupaka, Lotion aina 2, Powder 1, vipimo vyangu vya HIV 4 na...
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja
anaifua
anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi
anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa
usiku,asubuhi
anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Nianze mimi mwenyewe
Siku ya kwanza nimeingia kwenye kituo cha mwendokasi aisee sitokaa niisahau. Baada ya kupewa tiketi kwenye kuiscan ile tiketi palinitoa jasho. Akanisaidia dada mmoja mrembo...
Teacher:kila mwanafunzi hebu jaribu kufikikiria upo msituni halafu ukakutana na simba na hauna silaha yoyote,utafanya nini ili kujiokoa?
dogo:mwalimu,ili nisiliwe na simba basi nitaacha kufikiria...
Ikiwa yapata nusu saa tokea kupaa kwake ndege moja iliyobeba abiria zaidi ya 200
..ikasikika sauti tokea kwa rubani ikisema "injini moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ni wakati wa...
Mambo vipi wadau,kichwa kinajieleza,mimi ni kijana mdogo tu nahitaji marafiki vijana kwaajili ya kubadilishana mawazo(hususani wasichana sio wanawake) na ni kiurafiki tuu kwaajili ya kubadilishana...
Naaaaaaam
Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini.
Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana.
Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...

ITV kwa sasa taarifa ya habari ya saa 2 Watangazaji wanasoma muhtasari wa habari then wanazunguka nyuma kwenda kukaa katika viti na kuendelea na habari. Utaratibu huu nimeupenda sana hasa siku...
Dear kipenzi changu siku zimefika, miaka …… umetimiza katika hii dunia.
Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, anayenipenda, anayeniheshimu, anayenithamini
Hongera sana kwa wako wazazi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.