JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Ujasiri ni nini?* *Ujasiri ni kupewa na baba yako elfu kumi alafu uikague mbele yake kama ni feki* [emoji23][emoji23]🤣🤣🤣
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baunsa mmoja alikuwa kapumzika sehemu sehemu anakula upepo na ghafla dogo mmoja akamfuata. Huku akionyesha kujiamini yule dogo akamvagaa yule baunsa! DOGO: Oyaa bro saa ngapi? BAUNSA:Hebu ondoka...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale wapenz wa movies..funguka jina la movie unayoipenda .... Ukishindwa ya TZ taja za mbele bac Kama mm naikubal DEADPOOL Za kibongo tukiachana na za kanumba aisee...bado cjaona , (au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
[emoji121] Wash'kaji eeeeeeeh!!! Huku kitaa cha mivumoni_centre Ukiachana na hii njia ya 1 kwa 1 ya kuelekea madale, Kutokea tegeta_nyuki, Upande wa kushoto Kama waelekea mtaa mmoja wa kuitwa kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
WASH'KAJI EEEEEEEH! TUSIKILIZANE KIDOGO. KUTOKANA NA PILIKA ZA MAISHA HAPA MJINI, NIMELAZIMIKA KUHAMIA HUKU PANDE ZA GOBA_JUU, HAPA KWENYE MABANDA YA MKAA, KARIBU NA MNARA WA AIRTEL, UKIINGILIA...
14 Reactions
187 Replies
18K Views
Habari ya jumapili wapendwa. Ni miezi 10 sasa toka nijiunge hapa,kiukweli ninamengi nimejifunza,na bado naendelea kujifunza, ahsante marafiki niliowapata hapa,wakike pia hata wa kiume. Wengi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Miongoni mwa watu ambao wanaongoza kwa Chai hapa JF basi Mshana na Gudume ni Kiboko hebu nisaidie memba wengine wana chai safi niwatafute Kidogo maana kwangu huu ndo uwanja wa kuondoa Msongo wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Adui mwombee njaa... Huu msemo pengine ndio maccm wanautumia ili kufanikisha azma yao ya kutaka kuufuta upinzani bila kujua ndio inajichimbia kaburi! Kufuatia wimbi la hama hama, ambapo wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KUNA AINA MBILI ZA WENYE MAJONZI NA KILIO.. KUNA WALE WANAOJIFUNGIA NDANI NA KULIA NA KUNAWANAOKUJA KULILIA HUMU JF Na kwenye mitandao mingine ya kijamii
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo. Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule...
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Leo mimi mgeni(mwenyeji) jiji la Wagogo. Kama uko Rainbow karibu tusalimiane.
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Bwana Mmoja alikuwa akiuza chumvi kila siku, biashara yake ya kuuza chumvi aliifanikisha kwa kutumia Punda wake.. Katika njia yake ya kwenda sokoni kuna mto huwa anavuka, kwa bahati mbaya siku...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
TV ANCHOR INTERVIEWING A FARMER. QN: what do you feed your goats? Farmer: black one or white one? Anchor: white one... Farmer: grass. Anchor: and black one?? Farmer: i give her grass too...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi ilikuwa ukipikwa ugali usiku nilikuwa nachukia sana,nakula matonge mawili tu nimeshiba naenda zangu kulala
1 Reactions
70 Replies
6K Views
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!! haaa! sawa hiyo!!!!!!!!! aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!! anamkwepa mponda...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kila siku mnalia lia hamuolewi,.. hampati wa kuwatuliza,.. hampendwi na wenza wenu.. Sasa mnafikiri kwa tabia kamaa hii nani atakuja kuchukua uchafu? Walio wachache wataelewa namaanisha nini..
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Hizi i miss u i miss u mda mwingine zinatutia majaribu mjue,, shem i miss u mnaitolea puani? mbona broo/mwana/mzee baba humtolei ya puani? mashemeji zangu mpunguze mbwembwe katika salam,, unakuta...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wasalaam Wapendwa Uenda kuna swali ungependa kumuuliza MwanaJF flani humu ndani..Basi si mbaya kama ukimTAG na kumuuliza hapa.. Ni vyema tukatumia lugha ya kistaarabu ili kuepeuka kukwazana..
13 Reactions
153 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…