JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naomba Unitajie Watu Maarufu Unao Wafahamu Humu Jamiiforum. Kuna Watu Maarufu Sana Wanafahamika Humu JF Kwa Ku,comments% Post Za Watu Hemu Nitajie Mtu Hata Mmoja Unae mjua !!!
1 Reactions
227 Replies
13K Views
Kauli zenu zinatufanya tujione wanyonge,, [emoji117] "yaan hapa hakuna mzunguko" kabisa wa pesa [emoji117] "yaan hata weekend hakuna pa kwenda" [emoji117]" nimekuja mara moja kumcheki mother...
12 Reactions
393 Replies
13K Views
Rafiki yangu kamchukua bajaji anaemtakaga eti ampeleke Tabata Segerea kwa boyfriend bure. Nikamuuliza yani unataka kaka wa watu akupeleke sehemu ya elfu 20 bure kisa tu anakutaka akasema eeeh...
19 Reactions
81 Replies
6K Views
Weekend ndo imeanza hivyo. Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe. Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo...
8 Reactions
529 Replies
19K Views
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimetumiwa na mtu hii link na nikacheka sana nlivyoangalia mpaka mwisho,....Daaah Big Up sana Coy Mzungu umetuletea kipaji kizuri mjini aisee! CC: Palantir , hearly , Humble African, Red Giant ...
5 Reactions
34 Replies
7K Views
Aaa, eee, iiii, ooo, uuuuuuu! Hiiiiizi ni herufi kuuu! Tamka kwa sauti kuuu! Hiiiiizi a, e, i, o, uuuuuuu! a, jogoo a, a, aaaaa! kama jicho e, e, e! mwenye mpira i, i, iiiiii o, ni pete o, o...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Asalam ndugu wa jf Kama kichwa kinavyojieleza hapo je ni siri gani unayo ambayo huwezi wala hukuwahi kumwambia yeyote in real life But would on JF using anonimity''' Siri yangu mimi...
3 Reactions
77 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu,Hongereni naona weekend ishaanza kukolea,mi nilikuwa naomba kuuliza hv ladha ya kupigwa BAN ikoje???maana kuna siku nilivamia Uzi mmoja hv ilikuwa ni alfajiri sana nikakuta mdau...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanadamu tunakosa ustaarabu. Unakwenda kwenye ofisi ya mtu, "naomba uniwekee simu yangu ipate moto kidogo" Cha ajabu hujazima li simu lako, volume umeweka ya juu, halafu wewe ni mtu wa kupigiwa...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
Photoshop
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam Jamii Forumians. Naamini kila binadamu hufikiri kwa wakati wake na kwa namna yake. Lakini wengi tufikiria tunapokua wenyewe (alone). Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi cha kukosa usingizi...
0 Reactions
3 Replies
697 Views
[emoji16]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naamini kila mtu yupo sawia kabisa kama wine nyekundu. Hapa jukwaani, imewahi kuzuka mijadala mingi mno kuhusu wanaume wa Dar na wa mikoani. Tumetupiana sana vijembe na dharau. Wanaume wa Dar...
0 Reactions
71 Replies
4K Views
Mboga hutumika kukoleza utamu wa chakula na kukifanya kiwe rahisi kulika Kuna mboga tamu, na mboga tamu zaidi. Hawa wadada wa jf ww unawafananisha na mboga gani tamu ambayo ww hupenda kuila...
4 Reactions
163 Replies
7K Views
This loneliness is killing me ooh! (In nigerian ascent) msaada tafadhali
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za Jumapili wanajamvi... Nimetimiza mwezi mmoja na cku kadhaa toka nijiunge rasmi na JF. Kiukweli nimejifunza mengi, nimekutana na mengi humu ya kukatisha tamaa, kuumiza, kuvunja moyo hata...
11 Reactions
99 Replies
5K Views
No chill in Africa VITU VINAVYOTAMBULISHA UAFRIKA 1.kukojoa nyuma ya ukuta 2.mke kulala ukutani 3.ufagio unakaa nyuma ya mlango 4.ukiwa tajiri ni freemason 5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya...
1 Reactions
5 Replies
937 Views
Amani iwe juu yenu ndugu zanguni. Leo nimeona nine tushee hapa jinsi mtu anavoonekana fb na muonekano wake hapa. Kuna members humu laiti wangekujua kwamba fulani ninachat huku ndo yule wa fb...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Back
Top Bottom