JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwenye jibu naomba msaada tutani. Je alifanya zikae condom tatu tatu alikua na maana kwa kawaida ni goli tatu tu ndio maximum??? Au???
7 Reactions
311 Replies
16K Views
Kuna watu huwa wanaudhi kweli wanakera mfano mpo watatu mnaenda sehemu mkifika sehemu mnaagiza mmoja wenu anajifanya kama hali hivi haagizi ,cha ajabu kikiletwa chakula chenu anasema ngoja nionje...
11 Reactions
91 Replies
6K Views
Je kwa nini pesa zetu zina picha au chapa ya nembo za wanyama!
0 Reactions
6 Replies
913 Views
Factopedia special hello bosess Tupe fact zako kwenye jambo lolote kuhusu kitu chochote ilimradi tu iwe ni - fact -After the fact -Factoid -Reality -Evidence -Brute fact -Factoid E.g...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
Ngoja nianzishe,mambo VP shega,pina pana,msololo na zoba
3 Reactions
270 Replies
22K Views
WASICHANA WAKICHAT MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear MDADA2; poa lov, nimekumiss pia Niliiona pc ulopost fb its so cute MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na...
37 Reactions
118 Replies
9K Views
Habarini wakuu, Jamani mimi si mjuzi sana wa mambo ya politiki na naomba mwenye kujua anisaidie juu ya vazi hili linalovaliwa na wakuu wa huu mhimili muhimu. Huwa naona baada ya session moja...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Hawa Magereza (PRISONS) watu wa ajabu sana, wamemwachia SUGU kisha wakamfunga YANGA.:D
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu,,, Msistuke kusikia Magufuli [emoji16][emoji16]ni jina la kijana wa mtaani kabisa.. Aiseeh kuna wakaka wawili maeneo ya supa Masaki,wote ni watu wa kanda ya kaskazini..huyo...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Nauliza "Wale WANAMAZINGAOMBWE" waliokua wanageuza MAKARATASI kuwa HELA tukiwa PRIMARY SCHOOL wapo Wapi? Huu ndio Muda Sahihi sasa nina RIM PAPER Kama 3 ivi .
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu huyu mtu ni mda mrefu sana amepotea hapa jamvini, nnamashaka wasiojulikana wasije kua tayari wamefanya yao. Story za Gala kwa kiwango kikubwa zilikua zinanisaidia kupunguza stress...
1 Reactions
7 Replies
803 Views
Nimesahau cm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Happy birthday to me
0 Reactions
4 Replies
727 Views
Leo ni kumbukizi ya siku niliyozaliwa miaka kadhaa iliyopita siku kama ya leo nilizaliwa ... Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuishi miaka yote hiyo .. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea...
3 Reactions
7 Replies
955 Views
Namshukuru Mungu leo tar 9/5 nimetimiza miaka 33 kamili wengi wamepotea kabla hawajafika huku na walikua na ndoto nyingi,wote ambao tumefika huku tukiwa na afya njema tuungane kumshukuru Mungu...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Haya ni mambo ya zamani. Kisasa tunasema kila mtu na demu wake, embu tukumbushane maneno ya zamani yenye kutia ladha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii tabia ya watu wakipanda ndege wanajifanya wao ni wao, wanabadili lugha na kuongea kiingereza na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka, inavyokimbia na cha kumchukua za...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa! ni siku ya kipekee kabisa kwani ni tarehe 25 June,siku ya jumatatu jioni Mama WA-UKENYENGE ndipo alipoweza kunitambulisha hapa duniani. Ahsanteni...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Marafiki nawatakia uckumwema Mungu alinde na giza nene
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawaza tu kwa sauti. Habari za mida hii wadau. Poleni na hongereni kwa majukumu mbalimbali kukabiliana na hali. Nimewaza tu uwepo wa gbJf app inayokupa uwezo mbalimbali kulinganisha na jf app ya...
1 Reactions
10 Replies
794 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…