Sijui ni kwenye Thread zangu tu au na Zenu pia?
Yaani hata Thread iwe Nzuri na Inatrend Vizuri kuna baadhi ya Members yaani wakichangia tu hapohapo na Uzi una Buma.
Yaani Uzi unakosa...
Natiririka na hii Mada kidogo
Unakuta midume kabisa unapiga picture na kuanza kuiediti na kuweka madoido. huu ni ushamba au ulimbukeni mnatafuta uziri au? mingine unakuta inatumia kabisa switie...
Nimepita kwenye social network moja nikakuta tangazo la muhaya akitafuta mpenzi..Anasema " Naitwa Mulokozi Batakyanga...Nipo Kamachumu likizo lakini huwa naishi na kufanya kazi zangu jijini...
Hellow bosess!
Dha.. siku nikifikisa staff 1000+ na zaidi nitahisi furaha na amani sana napenda sana watu wengi tufanikiwe na tukamilishe mipango yetu. moja kati ya malengo yangu ni kuwa na staff...
UNAJUA YA KWAMBA….
1.Kitu kizuri kupita vyote ni: UPENDO
2.Kitu rahisi sana kuliko vyote ni: KUDANGANYIKA
3.Zawadi kubwa kuliko zote ni: KUSAMEHE
4.Ajali kubwa kuliko zote ni: KUKATA TAMAA
5.Kitu...
Ni mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya...
Moja katika wachangiaji wakuu na waleta Uzi au mada zenye changa moto na kuibua mambo mbalimbali katika jamii yetu.
Watu wengi sana humu walikua wakijiuliza huyu MTU ameenda wapi au ameacha...
Nimefungua Page Yangu Kule Facebook Sasa Nilikuwa Naitaji Kuweka 5 Rating, Sasa Sikuweza Kuweka.
Sasa Nauliza Hiv Mpaka Niwe Na Like Ngapi Ndio Naweza Kuweka?
Mpaka Sasa hivi Nimefikisha Likes...
1.Padri na kutubu dhambi kwa RC mtanielewa vyema
2.Mwanasheria ambaye atakuteta ukiwa na kosa la jinai na lazima umwambie ukweli
3.Daktari ambaye atakutibu ugonjwa pengine ni wa zinaa na...
Wakuu wa 90's hali ikoje huko kwako?
Hivi muda bado au ndo tumechelewa?[emoji23][emoji23]
Mana Jiwe anazidi kaza nati, kuna kuoa/ kuolewa kweli awahi hii?[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Au...
Wasalaam kwenu,
Uzi huu ni maalumu kwenu wote wapenda vya juu sana.
Usiwe mrefu sana wala mfupi sanaa, uwe na kimo cha katikati.
Mke wa kuoa asiwe mbaya sana wala mzuri sana yaani awe mzuri wa...
Hello peoples.
Leo ni tarehe 7/5.....
Ebhana siku kama ya leo miaka mingi iliopita nilizaliwa kijana mpole mimi kipenzi cha wengi[emoji1]...
Nachukua nafasi hii kumshukuru sana mama angu kwa...
Baada ya kushindwa kwa mpango wake mkubwa wa kupanga na kuratibu maandamano yasiyokoma ili kuuondoa utawala wa Rais Magufulu madarakani hapo 26 April sasa mwanadada maarufu katika mitandao...
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA...
Habari zenu wana jamvi! Uzi huu nimeuweka maalum kwaajili ya kujuzana kuhusu hotel mbalimbali kwa jiji la dar zenye huduma nzuri na bei nafuu kuanzia elf 30 had laki 1 kwa huduma ya kulala...