Nawaona kule kwenye jukwaa la siasa wanavyojipa Stress bila sababu ya msingi kila member kule leo anakuja na thread Yenye heading Maandamano.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
Wakati ule amri ilitolewa na mfalme wa jiji kuwaita wote waliotelekezwa pamoja na watoto wao.
Hata walipofika ndani ya praitorio akainuka Bashite akawaambia, amani iwe kwenu enyi wakina mama kwa...
Wanajamii foruma nawasalikuu sana poleni sana na mahangaikoo ya siku nzimaa
Niwasimuliee mkasaa kidogoo nimehamishwa kikazi mkoa mmoja humu katikati ya nchiii nimemuacha mama watoto huko mkoanii...
Hivi ushawahi kumuota member yeyote wa jf??????????!!!!!!!! Kama sijasahau nadhani Kuna member simkumbuki ninani alitoa uzi ukiuliza hilo binafsi sikuutilia maanani kiviile na leo ndo...
Kwa waislam, ni lazima mtu akifa na nywele za kuunganisha awe mwanamke ama mwanamme ni lazima ziondolewe.
Hata kama ni ndefu lazima zipunguzwe tu.
Vipi kwa wakristo, kwa wale wanaojua watupe elimu
Nawaza sana na natamani kufahamu kwanini wake za watu wanacheate??tena ukizingatia unakuta mwanaume wake anapambana kwa ajili ya mkewe ili ampatie anachokitaka ila kuuutwa kutembea na watoto...
Wakuu,
Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.
Mwanaume unafungua kinywa kabisa...
FURAHI ONGEZA SIKU ZA KUISHI
Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue. Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa...
Tangu Jf iondoke hewani jana na kurudi Leo... Watu tumepoteana kabisa... Wengine tuliacha ahadi zetu hewani hewani... Wengine waliacha miTongozo yao hewani hewani... Wengine ndio walikuwa kwenye...
Habari zenu wakuu?
Kama heading inavyojieleza huu hapa ni uzi special kwajiri ya kumtakia pasaka njema member yeyote umpendaye
Njoo hapa umtaje na umtakie pasaka njema yeyote bila kuogopa...
Leo katika harakati za kujiandikisha vitambuisho vya utaifa Agent wao akakosea kuandika tarehe yangu ya kuzaliwa badala ya 15/01 yeye kaandika 15/10 ile ananiambia nikague info zangu ndo nikaona...