Ilikuwa tar 16-4-.... ndipo nilipo iona hii Dunia nashukuru sana MUNGU wangu kwa kuniwezesha kuiona siku kama ya leo ni natimiza miaka kadhaa na ahsante mama yangu kwa kunileta Dunia ni. Na pia...
Ujumbe huu umfikie yoyote yule aliye macho hadi hivi sasa na yuko online akitiririka na kuserereka. Na ' Uzi ' huu kamwe haumuhusu mletaji wake kwani nimeamka tu mara moja niende Msalani...
Nimezaliwa tarehe 17,4, Siku ya j4 saa mbili usiku ndo siku niliyoanza kuliona jua,
asante MUNGU
Nachukua fursa hii kumshukuru muumba wa mbingu na nchi kwa kunijalia afya njema mpaka siku ya leo...
Habari zenu jamani,
Leo ni siku yetu jamani, nilikutana na huyu kaka kama masihara vile akaniuliza kama hii tarehe ndo niliyozaliwa mm nikamwambia ndio kaka, duh kumbe naye alizaliwa siku kama...
*Kampala to Jinja is 8,000shs and Jinja to Kampala is 4,000shs ....*
*I asked the conductor why?*
*He answers ... "Why is Monday to Friday 5 days while Friday to Monday is 3 days?".*
*Then I...
Kama kichwa cha habari hapo juu, mliofunga ndoa kutokana na JF, mlikumbuka kutoa shukran kwa Max Mello?
Si uugwana kuto kutoa asante katika jamii yetu.
Mkimualika kama yuko busy mimi si mind kuja...
Tazama tutorial ni jinsigni unaweza kufanya mockup kati ya logo na t shirt nji hii ni rahisi na inaweza kuonekana realistick
tutorial lugha ni yakiswahili
BOFYA LINK KUTAZAMA MAAJABU YA...
Hii tulikua tunaiita hvo hivo kama ilivoandikwa ""sport"". yani ni wanafunzi wachache sana walikua wanarudi nyumbani bila huo mfuko kuwa na mafuta ya maandazi na bagia.
Sisi wanaume ndo ilikua...
Standing here looking out my window
My nights are long and my days are cold
Cause I don't have Mzigua90 by my side
How can I be so damn demanding?
I know you said that you are coming now
But I...
MAPENZI NI MATAMU ILA ACHA KIHEREHERE..
Ama hakika mapenzi ni matamu sana ukimpata akupendaye mkashibana. Kumjali mpenzi wako ni jambo la msingi sana lakini ni vizuri kuepuka kuwa na kiherehe...
ilikuwa hivi
Polisi: Jafari tumekuita ili tukuhoji kuhusu mali zako je uko tayari tuchukue maelezo
Jafari: Ndio niko tayari
Polisi: Hizi mali ulizipataje maana kipato chako halali hakiendani na...