Najiuliza tu hapa kama nina kazi na mshahara haumalizi hata mwez na sina majukum kiviiiile, hivi ambao hawana kaz kabisa wanaoshijeeee
Au ni mimi tu na matumiz yangu!!!
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
Ilikua tarehe 14/4 mwaka........ Siku ambayo mama yangu kipenzi kwa uwezo wake mwenyezi mungu alinileta duniani...... Namshukuru mungu nimekua na mpk sasa nakaribia kuitwa mama japo changamoto ni...
Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi
Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi?
Yaan ukiwa umelala unatakiwa...
Nawasalimia wanaJF chit-chat Mara ya mwisho nimeonekana humu mwishon mwa 2016 niliwamiss na nimerejea tena japo Mara chache nlikuwa nachungulia bila kuandika wala moment chochote.. Nafurah majina...
Hello wana chamvi, tangu nijiunge na mtandao the huu wa Jf nimekuwa nikifatilia baadhi ya thread za watu na hawa ndo nilitaman kuonana nao live (mubashara)
1.Demiss
2.Mzigua
3.Bujibuji...
Heshima kwenu wakuu.
Nimempigia simu jana Mzee mmoja huko kijijini.
Ni muda tulikuwa hatujawasiliana tangu January yani pale mwaka mpya.
Mimi: Mzee shikamoo
Mzee: Marahaba, hujambo mwanangu...
kutokana na kuwa watu wa dar wamekuwa wakijiona wao ndo wao kwenye kila kitu na kuona sisi wa mikoani ni washamba nimeona bora nasi tuanzishe Forum yetu tuwe tunapeana Maujuzi mbalimbali na habari...
Kwenye nyimbo ya mahabuba wewe na aslay uliimba maneno matamu sana kama
''Wacha wapaki marange nimependa bodabodo"
"Chai kwa andazi wala sinagashida"
"Uniletee boga ninapomiss baga"
Sahivi...
Wadau wakati najikumbusha kitabu flan cha shule ya msingi miaka yetu si tunasoma enzi za Mr na Mrs Daudi( nadhan kwa sasa watakuwa wamezeeka sana nasikia baraka yule mtoto wao mdogo ameoa miaka 5...
Habari za jioni?
WABONGO WANAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO
DAR bwana
"Wizi" MBAGALA
"umbea" MWANANYAMALA
"mapenzi" KIGAMBON
"vibaka" KARIAKOO
"majivuno" MASAKI...
Katika maisha kuna mambo mengi yanachosha na kushangaza pia.yanaleta ukakasi.
_Mtu kakuamini anakueleza tatizo lake,kama hujui jinsi ya kumsaidia/kumshauri mwambie ukweli tu,usianze kumweleleza...
Hakuna kitu kinachoniudhi kama hhawa paka wanakuja kulilia dirishani kwangu usiku wa manane afu inaliaga kama mitoto.
Niliwahi kutoka usiku wa manane na boksa tu kuwatimua walikuwa wanagombania...
mfano.
Nyani Ngabu.
Hapo unaweza kumwita wee Nyani.
Nataka tuone wale wenye id ya majina mawili na kuendele wakiitwa kwa jina moja inakuaje.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
Waheshimiwa habari zenu.
Hapo zamani za kale..2013 nil
ikuwa member wa jf.
Nilifanyaga ujinga wa kipumbavu eti natafuta mke na wakati nilikuwa nimeoa.
Pm nilikuwa natongoza kila mtu.
Ebwana eeh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.