Jumapili na iwe njema kwenu wakuu.
Unakuta mdada/mmama amekaa na shoga zake anawatambia kuwa mpenzi/mumewe ni mpole na hana mchepuko hata kidogo.........thubutuuu........ si ajabu hao anaowaambia...
Ifikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na...
Ni saa tano na nusu bado nimejilaza hapa kitandani.Naangaza kila pembe ya chumba changu lakini sioni mabadiliko yoyote chumbani.Moyo unanidunda dunda sana japo najua siumwi.
Mara ''ngo ngo...
Better late than never....
How does it matter whether you are 7 or 8, 17 or 18, 70 or 71? For all of us you're still as dumb and lovable as you always were! Just kidding. Wish you a very Happy...
Wana jf hebu tujikumbushe kidogo wale tuliopitia shule za msingi iringa mjini,binafsi nimesoma sabasaba primary sc nilianza mwaka 1991 namkumbuka sana mwl Danga alinifundisha kusoma na kuandika...
Sio mashindano lakini hebu tucheki ni couple gani inayodeserve kuwa
Couple of the year 2013
Ndani ya Chit chat??
Je, ni Arushaone & Lady doctor?
Erickb52 & Chocs?
Filipo & marejesho?
kiwatengu...
Habari wana Jf,
Kipindi hiki cha Ugandawazi watoto wa kike na wa kiume, wanaanza aka kamchezo wakiwa na umri mdogo sn, miaka 10 tu unakuta mtoto an
ajua mambo ya kikubwa[emoji1]
Bibi yenu...
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Nina miaka 22, ila nimekuwa na tatizo la ndoto nyevu siku 15 mfululizo sasa, nalala siwazi ngono wala mwanamke na nina kawaida ya kulala late nights nikiwa...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
* Ushimen: ni mtu wa kawaida hapendi kujaa hasira sana.
* Mshana Jr: huyu nilishakunywa nae soda...
If you think your English is good, I challenge you to write any english word (noun, adjective, pronoun, adverb, etc) that starts with first alphabet and ends with the last alphabet of your...
kama mimi kuna vitu siwezi kabisaa huwa mara nyingi nahitaji msaada na vikifanyika na mwanamke huwa najisikia amani toka moyoni na mara nyingi huwa inaniwia vigumu kuvifanya mimi mwenyewe kama...