JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yap machungu yako kati ya vitu viwili vifuatavyo yaan kufiwa na kukosa hela Kitu gan huwa kinauma sana kama endapo utafiwa na mpendwa wako au kama itatokea huna hata mia mfukon yaan huna chapa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba niishie hapa tafadhali. Shikamooni Tanzania. Nawasilisha.
0 Reactions
51 Replies
3K Views
Baada ya kuona kuwa wakina dada wamejiwekea vigezo vya kumkubalia mwanaume Wa kumuoa ni mpaka mwanaume awe na pesa za shopping, kula vizuri,kutengeneza nywele kucha kope na kuwa na gari,nyumba pia...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Miaka kadhaa iliyopita ndugu yetu katika ukoo alipata ajali mbaya ya barabarani na ilihitajika matibabu ya dharura lakini yenye umakini, na kama mnavyojua matibabu ya umakini kwa nchi hii ni...
10 Reactions
58 Replies
5K Views
I asked my girl who she texting and she said her boyfriend [emoji23][emoji23] i forgot i’m the side nigga.. Lakini Dame akizidi 60Kgs huyo Hafai kuitwa "Baby"...*Try something Sexy like "My...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Komando
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Ndugu mteja, kuanzia trh 07/04/2018 faida kwa mauzo ya LUKU itakua 0.9%. Asante. Selcom - Inatosha!
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Husband: I have cheated once. Wife: Me too. Husband: 1st of Apri.. Wife: 18th of June.[emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Enzi zetu Bwana Daftari ya Mazoezi ukigeuza nyuma lilikuwa na:- Table hadi 12x12 Kubadili Centigrade Celisius kwenda fahrenheit Uwiano wa vipimo Kilomita, Hektomita, Decimita, Sentimita na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatimaye mzee wa USA Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members wa JF pia kuna uwezekano hata ile title ya Platinum member nayo amenyang'anywa . Pia kuna uwezekano mkubwa hata akawa...
10 Reactions
244 Replies
17K Views
Haha,aisee hii mambo nimeifanya sana kipindi cha nyuma. Pindi pale mmetoka viwanja,then mnahangaikia pa kulala, mwendo unakua ni VYUMBA VIMEJAA, dah kitu SAA Tisa hiyo... BT sikuzote bahati huwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za Muda huu Wakuu, Binafsi nina Addiction ya uvutaji Sigara. Wale wenye addiction ya uvutaji wa Sigara tubadilishane mawazo na tupeane maujanja na kujuzana aina mbali mbali za Sigara na...
2 Reactions
177 Replies
15K Views
NAWAKUMBUSHA Yeyote anaetaka kupata mtoto 2018 Hii ndo wiki ya mwisho. Vinginevyo mtoto wako atazaliwa 2019. So ebu tuweni bize kdg9
3 Reactions
2 Replies
1K Views
habarini wanajamvi na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani? nawasilisha.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakuna mechi ya mpira iliyochezwa kwa mda mrefu kuliko ile ya Marekani na Argentina mwaka wa 1941 na ilikuwa fainali,wanaume walipiga dakika 90 ikawa ni sare 2-2 refa Tom Foll akaongeza zingine 30...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuna katukio kalikua kanatokea sana enzi za shule ya msingi Aisee maana hakuna kitu kilikua kinauma kama umetoka darasani kwako ukaenda darasa lingine kuongea na rafiki zako au kupiga umbea,alafu...
14 Reactions
70 Replies
4K Views
wadau natafuta wale Alumn wa 1983 sekondari ya shaban Robert wanicheck in box
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu majukumu yanaendaje. Nimeona si vibaya tukakumbukana na kushea lile school life la pale Mkwawa kipindi ni high school na ikipendeza hata saizi pakoje kwa walio na wanaoendelea na chuo...
0 Reactions
3 Replies
725 Views
Back
Top Bottom