Leo game ya Chelsea na Barcelona nilienda kuchek mitaa yaTabata Magengeni nikiwa na washakaji zangu na mahasimu mashabiki wa Man United, waliniita tujumuike kwenye Bar flan maarufu maeneo hayo. Na...
You dump a guy for cheating on you then you date another guy who was dumped because of cheating then you say you moved on. My sister that's cross multiplication [emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za mda huu
Kuna kitu kinanishangaza saana yaani mimi huwa nafananishwa saana na watu yaani zaidi ya watu wasiopungua 10 walishawahi kinifanisha na watu wanaowajua au wafahamu
Hii imekaaje...
Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya...
Makamera man walikuwa majeuri
kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii
Kamera ina likamba fulani jeusi
inaning'inizwa shingoni.....
Kameraman ana kabaskeli kake hapa...
nyuma kana begi lina picha za...
Enzi zetu Daftari ya Mazoezi ukigeuza nyuma lilikuwa na:-
Table hadi 12x12
Kubadili Centigrade Celisius kwenda fahrenheit
Uwiano wa vipimo Kilomita, Hektomita, Decimita, Sentimita n Milimita
Za...
Heheheheee heeheeiiyaaaa.....
Waaalaaaaaaaaaahhh
Leo ni alhamis na ndo kumekucha hiviii. .... kila mmoja... soma, sikiliza kisha pata kijembe chako. Kila mmoja anacho chake.
Nawe kana...
Salute,
Naskiaga sana watu wanasema, mimi namiliki banda la nyumba , ni nini na nini kinatakiwa kuwepo katika nyumba ndo tuiite hii ni nyumba?
Nini chanzo cha huu msemo?
Wakuu kwa yeyote atakayemuona member mwenzetu mamaya popote pale basi asisite kumjulisha kuwa anatafutwa. Nimejaribu kumwendea PM bila mafanikio. Muwe na siku njema
Hivi maisha yameguwa taiti kiasi kwamba hata miguno ktk mambo yetu imeadimika!
Yaani mdada anatega na kutulia tuli ka anasukwa nywele!
Mwingine ndo anachati kabisa mkuyenge ukiwa shimoni daah...
- "I couldn't believe it was her. It was like a dream. But there she was, just as I remembered her. That delicately beautiful face. And a body that could melt a cheese sandwich from across the...
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa...
Hadi saa 4.15 usiku wa leo tarehe 13 March 2018, wafuatao ndiyo members 5 bora wa humu JF kwa kigezo cha kuwa na posts nyingi.
Nichukue fursa hii kwa niaba yangu mimi binafsi kuwapongeza kwa...
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kumekuwa na tabia moja ambayo ikiachwa badae italeta taflan kubwa sana maana kuna siku nina uhakika tutagawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.