Wanawake wenzangu
Tuendelee kupambana
Tushirikiane na kusaidiana inapobidi
TUPENDANE pia japo pana ugumu hapa ila tujitahidi kufuta kauli ya adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
Nawatakia...
Mara nikaona facebook messenger....ngrrrrriiiiiiii imeingia text,dah huwaga nadata sana nikipata text huko kwa sababu mara nyingi huwa ni mademu walielewa swag zangu kwenye maprofile picha na...
Aman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee
Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye...
Katiba ya Marekani inasema mgombea Urais ni lazima awe amezaliwa nchini humo. Kipengele hiki kingetuondolea maswali mengi jujutsu Urania Jami like wa Marais wetu wa Afrika
Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol!
Nimembembeleza wapi hanielewi tena kachukua man mwingine humu humu!
Nasikitika yani manzi mtamu ana kisima cha ubatizo cha...
*_Kumsaliti mkeo haimaanishi humpendi! Hii ni kama kukodi taksi na wakati una gari yako nyumbani. Hii inakusaidia kuokoa mataili yasiharibike haraka na hata gari lionekane halijatembea umbali...
Twende tukaoe.
wapi ?
Iringa.
kwanini ?
(kimya)
hata kuoa nako kuna hitaji maamuzi magumu.
ndio mwalimu.
Ndio,kwanini ?
kwa sababu ya saa ya mkononi hailingani na saa ya ukutani kimajira...
Habari za humu wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji Greater Thinkers waje inbox ili wanipe ushauri kwasababu nikitoa uzi hapa wengi wanaona kama utani vile
Ipi kozi nzuri kati...
Habari zenu wakubwa zangu, wazee wenzangu mayanki wenzangu kwa vile vizee vilivyomo humu shikamooni.
Ni kawaida yangu mimi kushinda jf maana naona ndo sehemu pekee inayonipa burudani na...
Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani
Mwanamke yupi amechangia kuifanya jf motooo!
Kwa michango yake ktk nyuzi na namna anavyotuelimisha na kutuchangamsha
Categories ni
Mburudishaji bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.