JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanawake wenzangu Tuendelee kupambana Tushirikiane na kusaidiana inapobidi TUPENDANE pia japo pana ugumu hapa ila tujitahidi kufuta kauli ya adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie Nawatakia...
37 Reactions
301 Replies
17K Views
Mara nikaona facebook messenger....ngrrrrriiiiiiii imeingia text,dah huwaga nadata sana nikipata text huko kwa sababu mara nyingi huwa ni mademu walielewa swag zangu kwenye maprofile picha na...
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Aman iwe nanyi wakuu Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye...
8 Reactions
162 Replies
21K Views
Katiba ya Marekani inasema mgombea Urais ni lazima awe amezaliwa nchini humo. Kipengele hiki kingetuondolea maswali mengi jujutsu Urania Jami like wa Marais wetu wa Afrika
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol! Nimembembeleza wapi hanielewi tena kachukua man mwingine humu humu! Nasikitika yani manzi mtamu ana kisima cha ubatizo cha...
2 Reactions
101 Replies
5K Views
*_Kumsaliti mkeo haimaanishi humpendi! Hii ni kama kukodi taksi na wakati una gari yako nyumbani. Hii inakusaidia kuokoa mataili yasiharibike haraka na hata gari lionekane halijatembea umbali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Twende tukaoe. wapi ? Iringa. kwanini ? (kimya) hata kuoa nako kuna hitaji maamuzi magumu. ndio mwalimu. Ndio,kwanini ? kwa sababu ya saa ya mkononi hailingani na saa ya ukutani kimajira...
0 Reactions
2 Replies
584 Views
Habari za humu wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji Greater Thinkers waje inbox ili wanipe ushauri kwasababu nikitoa uzi hapa wengi wanaona kama utani vile Ipi kozi nzuri kati...
0 Reactions
17 Replies
978 Views
Funny but not funny
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ina zaidi ya watu million hamisin mi Kati ya Hao nadhan kwa sasa mi ni tajiri namba 11,366378. Je we ni tajiri namba ngapi?
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wengi mnanifata pm kuniambia sijui nini nini Mnanionea bure.sitafuti mtu Mimi hili ni jina langu tu.nilitafuta nikachoka.sitaki tena niacheni.
10 Reactions
94 Replies
6K Views
Igweeeee! baada ya salam hii maalum jamani watu humu hizi signature tujazitoaga wapi..... Kwa kweli ziavutia na zinahamasisha....
0 Reactions
7 Replies
856 Views
Habari zenu wakubwa zangu, wazee wenzangu mayanki wenzangu kwa vile vizee vilivyomo humu shikamooni. Ni kawaida yangu mimi kushinda jf maana naona ndo sehemu pekee inayonipa burudani na...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Napenda arsene wenger awe kocha wa simba,mnisamehe! Napenda bunge lihamishiwe chato, mnisamehe! Endelea...
4 Reactions
130 Replies
9K Views
Mkuu je ni kweli nyie watu wafupi mnapenda sana chini kuliko kawida na ni wahogaji wazuri.(mnapandisha dau kuliko kawaida)
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani Mwanamke yupi amechangia kuifanya jf motooo! Kwa michango yake ktk nyuzi na namna anavyotuelimisha na kutuchangamsha Categories ni Mburudishaji bora...
7 Reactions
213 Replies
9K Views
Wakuu tustuane kama upo hapa tusalimiane
0 Reactions
5 Replies
940 Views
Kuna mmanzii kanirandua sasa nimeranduka, nashidwa kujitowa ufahamu wa nini nifanye!! Wakubwa kule wakanipe mbinu. @msandawe halisi Aka senior expert member
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…