Mungu akipenda tarehe 17/2/2018 panapo majaaliwa nitafunga ndoa yangu na kipenzi cha moyo wangu kama ndungu na marafiki wa karibu mfike muda wa saa 8:00 mchana hadi 12:00 jion ktk hotel ya...
Mara ulkuwa unamlenga rafiki ako na jiwe,kwa bahati likamlenga bibi mzee akainama kisha akaokota lile jiwe akaweka kwenye mfuko wake akaondoka zake, utafanyaje!???
kwa mtazamo wangu hakuna jambo gumu na lenye kuumiza moyo hapa Duniani kama kuwa na swali ambalo hakuna anayeweza kukupa majibu yake au kuwa na tatizo ambalo hakuna anayeweza kulitatua au...
Nikiwa Mdogo mama yangu aliniambia watoto hununuliwa hospitalini
Bibi yangu aliniambia eti nikimchungulia mti akiwa uchi nitajikuta juu ya mti mkubwa na sitaweza kushuka hii iliniogopesha ila...
Wakuu. Nipo hapa napiga Ile nyama pendwa leo
Sasa najiuliza iweje ya home inaandaliwa kwa usafi na kwa kiwango ila hii ya huku kwenye makuti, kachumbari sijui ilitengenezwa akiwa na makamasi ila...
Huku mambo ni moto,sijui ndio kuvurugwa na maisha...
Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za Yesu.."
Konda: "Vipi wewe, Yesu bado hajatoa album...
Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda...
Wadau salam,
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?
Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa...
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima...
Nina rafiki yangu aliyewekeza ktk biashara inayomuingizia faida halisi ya 50000 kila baada ya siku moja,yaani 25000,je aendelee kuwekeza hapo.au afungue ingine
Tumsaidie ushauri
Me nakumbuka niliambiwa hivyo na binti xxxxx wa kirangi ila sasahivi hata kusalimiana ni issue na hataki hata kuniona yani kwa kifupi hakuna mtu mwenye upendo na mwenzake.Katika mapenzi yetu...
Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of...
Kwanza poleni na majukumu ya kusaka ugali wakuu.JF ni mtandao unaotukusanya watanzania na wasio watanzania wenye kazi,sifa,itikadi,fikra,mitazamo na karba tofauti tofauti.Humu kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.