JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkasa wa leo hapa kwetu ni kwamba kuna kijana mtoto wa jirani (26yr) inasemekana kavuta mibange huko kijiweni maana alikuja akiwa anakokotwa kwenye baiskeli na vijana wenzake wakamshusha hapo nje...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakipata Mwanaume anatoa mihela kila anapozihitaji wanamuita buzi Wakikutana na wagumu wazee wa buku mbili Wanasema Mwanaume suruali. Sasa Tufanyaje jamani
3 Reactions
114 Replies
13K Views
niaje maarifu/machaleiwize wote pande za chuganian. Leo furahi day pande gani kuna bawizey. Niko huku tripowize ars-nai road
0 Reactions
10 Replies
820 Views
Unaambiwa utamu wa ngoma ingia ucheze mwenyewe. Ndivyo niliyoyashudia hivi majuzi baada ya kukutana na kijibrodamen smart kwa nje but domo sijui anatatizo gani yani sio romance tu hata...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Hivi ni kweli sikukuu za mwisho mwaka zinamaliza pesa au ni kipato kidogo ?
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Siku nilimtembelea jamaa yangu wa kitambo huko pande za temeke. Baada ya stori mbili tatu akanichukua kutembea baa ya jirani. Mimi sikunywa ila jamaa alipiga bia kadhaa. Eneo lilikuwa la kawaida...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Haijawahi kutokea na nadhani haitatokea Deadbody nikamuhonga mwanamke zaidi ya 5000Tsh. Mimi ni miongoni mwa wanaJF wenye msimamo mkali. Mpaka sasa sijatoa hata 100. Bora tu niitwe dume suruali...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi. Watu wanakwenda mbele na model...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Hakuna siku inayofahamika zaid kama siku ijumaa,, hata kama ulikuwa umesahau Leo siku gani.. Kwanza ukiamka tu ukiingia WhatsApp,Facebook,Instagram unakutana na status hz Ijumaah Kareem...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Phs
Hje
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Sasa nimeoa na nitawatumia pcha
0 Reactions
9 Replies
858 Views
Jamaa mmoja alienda kukata miti polini.. wakati anakata ghafla Panga lake likadondoka mtoni...akaanza kulalamika sana... malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia.. Jamaa akamjibu nimedondosha...
7 Reactions
12 Replies
982 Views
Marafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu. Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo: Ben...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Baadhi ya ninayokumbuka na mambo mazuri toka hapa 1. Email toka kwa nisiyemfahamu kutaka nijiunge Jambo Forum mwaka 2006 2. Enzi ambapo Invisible alikuwa maarufu sana 3. Nakumbuka habari nyeti mno...
26 Reactions
81 Replies
5K Views
Vyuma vimekaza, grisi imekua shida kupatikana na watu tupo busy na maisha. Hivyo kwa namna moja au nyingine unawezajikuta unakosa muda wa kupata habari, kupitia uzi huu tuwe tunapeana updates ya...
2 Reactions
11 Replies
978 Views
sitosahau nilipokaa siku 3 bila kula nyama, nilihisi kuugua na kupelekwa hospitali, kabla hatujafika hospital niliingia KIOSK nikala kilo papohapo nikakaa sawa, sa hiv mimi ni mzima wa afya, lakin...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ukikuta tango au ndizi kwenye friji ya single lady usile nadhani mtakuwa mmenielewa wanaume [emoji3][emoji3][emoji3]
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Habar wana JF Katika pitapita zangu katika nyuzi za JF Nimekutana na ID ya le mutuzi ambayo ilikuwa active sana miaka ya nyuma. Lakini sasa hayupo active sana Jf huwa anakujaga tu...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom