JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nmeingia zanzibara alasiri hii naomba sana wadada wa huku tuwasiliane.ili nipate mwenyeji anitembeze maeneo mbalimbali. Kuna maeneo nayasikia tu ila sasa nataka niyafikie na pia kuona watu wake...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Kama inavyosomeka.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama una ndugu yako amemaliza kidato cha nne na yuko nyumbani anajua kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza kwa ufasaha Na yuko tayari kufanya kazi kwa mshahara wa laki nane (800,000/=)...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Yaani unakutana na mtoto mzuri, halafu unasikia anakusalimia eti "shikamoo ", shit!, Alaaah!, Mwingine utamsikia "shikamoo baba ". Wee tafadhali, nilikuzaa lini? Mbona tunazeeshana jamani...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
*Hivi kwanini mafuriko hayatokei kwenye mabenki?kuna kitu nataka nikione kikielea .[emoji23][emoji23][emoji23]*
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mentor popote ulipo tumekukumbuka, umekuwa kimya sana mkuu
1 Reactions
10 Replies
834 Views
DOMO ZEGE BANA *Manzi anakupenda balaa.. Anasubiri wewe tu umwambie ili muanze maisha matamu. Tatizo moja linajitokeza, we ni domo zege* *Unajikakamua usiku huo, unamtumia meseji kuwa unakitu...
11 Reactions
18 Replies
4K Views
*ILI KULINDA NDOA YAKO HAKIKISHA:* 1. Unaoga na mkeo; 2. Ukishindwa oga na simu yako. Siku njema
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Leo nimesikia madogo wakipeana malani nikaona si mbaya tukjikumbusha malani kidoogo kuflash bck Naanza na ....pua kama donge la sabuni
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Washikaji eeeh Ilala, Kino, Temeke, Hawa jamaa wanakuwaga wapole sana wanavyokuja tuwapeleke K/koo, mara beach, tena wengine wakifika Coco huwa wanaonja maji ya bahari, sisi tunakausha tu...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Baada ya kufanya utafiti usio rasmi Leo nahitimisha kwa kusema katika nchi za East Afrika Kenya kuna mademu wakali kuliko nchi zote.Kuanzia Shepu(Chura),reception/mapokezi/sura na rangi hadimu...
1 Reactions
26 Replies
50K Views
Hii imeniacha hoi
1 Reactions
2 Replies
964 Views
*Ushawahi mpenda jirani yako hadi ukisikia sauti yake unatoka nje kuanika nguo chafu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?
0 Reactions
1 Replies
870 Views
wadau nahitaji galaxy S7 used, maana nina limited Budget mpya siotoeza Ku afford, Tafadhali weka na Bei yako Hapa!
0 Reactions
3 Replies
643 Views
Eti kanipa limbwata! Limbwata?, kanipa limbwata wakati tumekubaliana niwe nachomeka usiku naye anachomoa asubuhi? Kwani kuna shida gani iwapo mimi nachomeka na yeye mke wangu anachomoa Net ya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu Haya mazao kwa dar hapa yanalimwa wapi?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu member alikuwa anaanzisha sana nyuzi hapa kwenye jukwaa la siasa,nakumbuka uzi wake mmoja ulishawahi kujibiwa na waziri wa mambo ya ndani Mh.Mwiguru Nchemba.nadhani ule ulikuwa ni uzi wake wa...
0 Reactions
13 Replies
845 Views
8 Reactions
23 Replies
4K Views
*Mume amempigia simu mtalaka wake ataka warudiane* Mume : Nisamehe naomba turudiane Mke : Una kikombe hapo? Mume : No! Kwanini? Mke : Kachukue kikombe jikoni Mume : Sawa nishaenda chakua...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…