JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu nimeleta mrejesho wa uzi wangu niliokuwa naomba ushauri jinsi ya kuanza kunywa Ethanol, kiukweli nimegundua kuna kitu nilikuwa namiss, maana nimeuona ulimwengu ni wa tofautii sanaa kwa sasa...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Ukizoea kuiba aiseee hata ww mwenyewe unaweza kujiibia, ccm wameshinda kiti cha ubunge jimbo la songea mjini kwa kura 45162 huku waliojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemsikia baba mmoja akimweleza mwenzake kwamba sasa hivi watu wanamshambulia rais Trump wa marekani kwa kuwatukana watu watokao Haiti na Afrika kwamba watu hao wanatoka nchi za shilole na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwalimu mpya wa history alifika class kufundisha mambo yalikuwa hv; MWL: Nani alimuua mkwawa? MADENTI:Sio mm mwl.kila dent. mwalim akamwambia headmaster vituko vya wanafunzi,ajabu headmaster...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Asubuhi nimepiga deshi. Saa 5 chapati 2 na chai jumla sh. 500. Mchana andazi moja la Azam pamoja na MO passion, hapa ikiwa ni 700/= . Jioni hii nimetumia 300 kununua mboga za majani, unga Upo...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe, [emoji536] Mmoja kachukua dhahabu, Wa pili kachukua pesa[emoji383][emoji385], Wa tatu kakaa dukani,[emoji15][emoji15] Mwenye duka kaja...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha. Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali . Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu...
24 Reactions
350 Replies
18K Views
Mim bibi yangu upande wa baba ana vituko huyo,anaongea kuanzia asubuhi mpaka tunaenda kulala Bibi yangu hua anaamka saa 12 asubuhi ole wako uchelewe kuamka ataanza kusema sijui mtaolewa na kina...
19 Reactions
139 Replies
12K Views
Kumbe hata Wazungu nao cha kuandika kinawagonga! Oneni hiki kama kiko grammatical "Bye bye ! If your a fan only when a team is winning then your not really a fan that our great club wants"
1 Reactions
8 Replies
982 Views
wadau naombeni msaada wenu jimsi ya kupata connection na wigizaji apa bongo kwani nina kipaji kikubwa cha kuigiza na kutunga stori nzuri mfano wa stori zangu ni ,part of life, unexpected...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
JF wanatulazimisha tuweke nyuzi zinazopendwa na Mods tu Wasipojirekebisha watapoteza watu wengi sana. Wanatulazimisha tujadili mapenzi na na umbeya ila ukiweka kitu ukagusa maslahi ya mtu fulahi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Religion is an opium of the Masses; Do you have a religion,do you worship,do you pray? In your opinion is prayer,subjective or objective.Is prayer externalized or internalized.In praying,are we...
0 Reactions
5 Replies
629 Views
Kwa ridhaa yangu mwenyewe, leo siku ya Alhamisi tarehe 11 ya mwezi januari nimeanua rasmi kutangaza nia yangu ya dhati ya kutoka CCM na kujiunga na TLP.[emoji35][emoji57]
2 Reactions
6 Replies
1K Views
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mvua hizi jaman Ukipanda Januari 2018 unavuna Octoba 2018 Tujitahidi Jamaani Team Mapacha Vepe?! Team kujigijigi speed ngap mpo? Team kusimamia ukucha niaaaajeee?
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Enzi hizo sie wakongwe humu miaka ya 2010, 11, 12, 13, 14, 15. Kulikua na members ambao walikua wanaongoza kwa comments za vichekesho na kutukana.. Watu kama Asprin, Malaria Sugu, MO11, CHAI...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwanza poleni na majukumu ya kila siku ndugu! Mnamo mwaka jana mwezi wa 6 nilikutana na binti mmoja kimwili na ilikuwa bila kinga (tulisex dak 3-5). Baada ya hapo nikajikuta sina amani na...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Mambo yako; Najua title inavutia ila kabla sijakupa ubuyu nikuchane live kuwa mafanikio hayaji bila,mipango na bidii. Mambo ya kwanza kwanza!!,kwa mwanamke njia rahisi zaidi ila sio kbaisa ya...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari za kazi Wakuu...... Kama Kichwa cha habari hapo juu huu Uzi ni wa kupeana hongera ya siku za kuzaliwa kwa tarehe zote mwaka mzima. Leo tunaanza na mimi nawakaribisha wote mliopo Dodoma...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom