JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
MADAKTARI KWELI HUONA VITUKO Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,, Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini, Daktari : Hebu vua nguo tuone, Jamaa: sawa navua ila naomba...
24 Reactions
54 Replies
5K Views
Habali wakuu mimi ni kijana wa miaka 25 sina mke wala mtoto lakin natafuta umarufu kwa hali na mali sasa nifanyeje ili niwe maarufu lakin sitak umarufu wa mda mfupi kama wa saed kubenea nataka...
3 Reactions
91 Replies
9K Views
Ni maneno ya manzi fulan kutoka pande hizi za mitaa ya uzunguni hapa dom, kwanza yaan juz nilikutana naye nikamusalimia tu fresh naye akanisalimu bila kinyongo sikusita kichukua namba, mtoto wa...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Kama uzi uliopita nilieleza kuwa mwaka 2016 (Miezi 18 iliyopita) katikati nilishawahi sex bila condom na mwanamke HIV POSITIVE, Basi mimi nikajua ndo basi, watu wakanitia Moyo ila sikuwa na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu, Katika pitapita zetu za maisha tumejikuta tukienda sehemu mbalimbali kulingana na sababu mbalimbali ikiwamo masomoni,kazini,biashara, utalii nk nk Kuna wengine wamefanikiwa kuvuka...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Ivi mbona kila mtu nikiangalia Post zake naona kama hakuna wenzangu humu? Yaani kila mtu utaskia "nilienda na gari sehemu fualani... Mara mwingine...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwa miaka kadhaa ndugu Nyani Ngabu au( a boy from USA [emoji631] ) kama anavyojiita mwenyewe amekuwa ni mtu maarufu humu jukwaani haswa kwa mbwembwe zake za kuongea kiingereza cha ndani zaidi...
19 Reactions
184 Replies
17K Views
Haaa ,haaa! Msijisumbue kuja mbio kama swala anayefukuzwa na simba,just joking
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Story yoyote inayoletwa na mwanamke humu ndani, utakuta anatoa mazingira ya maisha safi, kama anakula hotelini, beach fulani hivi za kifahari. Kwanini utoe mfano wa maisha ambao unatenga jamii...
6 Reactions
140 Replies
8K Views
2 Reactions
1 Replies
961 Views
Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?
3 Reactions
56 Replies
11K Views
0 Reactions
0 Replies
714 Views
mmefuta uzi wangu ,,sisi hua tukikashifiwa hamfuti nyuzii,,wabebenii lakin ndio hivyooo Eti cha nani hikii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Napenda kuchukua nafasi kuwaaga rasmi wana JF wote. Nashukuru kwa ushirikiano wenu. Mungu awabariki sana. tramadol
1 Reactions
86 Replies
4K Views
Hubert Humphrey once said, "The greatest gift of life is friendship," For your special day, I tried to find the right words to show you how I feel about our friendship. I could only think of one...
14 Reactions
502 Replies
21K Views
  • Poll Poll
Recently there have been many videos in United States about video game named „VRChat". In these videos, jokes about character named „Ugandan Knuckles" are made frequently. I have some of these...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Habari wadau; Naona vijana wengi sana wanatumia Ugoro,tena vijana wanaaonekana watulivu wanakula sana ugora mpaka inaanza kunipa tatizo Swali:Je Ugoro ni mihadarati?na hivi unatokana na nini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
A Primary School teacher asked her pupils to writean essay on ”A wish you want from God?" At theend of the day, the teacher collected all the essaysgiven by her pupils. She took them to her...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumefanya kazi kubwa hapa jukwaani kuelimishana, kurekebishana na mambo mbalimbali, leo tukumbushane uzi wako wa kwanza kuuandika hapa JF. Mimi nilianza na uzi unaitwa "Tusalimiane kinyumbani"...
3 Reactions
12 Replies
978 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…